hongera hanisamu boi
Hahahahah MO11 handsum boy wa kijiji aise nina sifa zote bana
Bold men!???? dah bora nibakie kwenye huu ulimwengu nilipo kuliko huo aisewanaume waoga huwa hawaongei mambo haya. only bold men can stand in the public and say so. welcome to the world of bold men
mambo ya sirini yabakie kuwa ya sirini ila sio kuja kujianika kuyasema kwenye uwazi
If you don have sex it is non of someone business and it is not a problem at all na wala haipunguzi au kuongeza lolote in someone's life
NI maamuzi na kujilinda dhidi ya mengi till the right time if you decide so na kama huwezi kujilinda fuata moyo wako unasema nini fanya the way you want and as many as you want
Dah BAK hapa niko sawa mkuu
Last edited by a moderator: