Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?

unapiga puchu? 20years bado mi nimeanza kula papuchi nina 26yrs
 
Kastor kananihusu aka ila m napga ndege Mbuni🚶🚶🚶🚶🚶
 
Yaani f5 unajiona umejituuunza!! Mbona mimi nimefanya mara ya kwanza niko chuo kikuu mwaka wa pili na binti ambaye kwa sasa ni mke wangu. Tulia dogo usianze kujibaraguza we bado sana.
 
Hahahahaha eti sexually active maviiii umejuaje? Mtoto si liziki hahahahah
 
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?
Unajisifia form six r u serious??wengine tumemaliza CHUO ndio tukabirikiwwa tena na maexp on .....furahayangu ukabirikiwe kwenye ndoa Selma AME...
 
ushawahi kujipiga bao usingizini? uliona lilivyo tamu,,, aidha kama hata hilo hujawahi....nna mashaka na urijali wako......
 
Back
Top Bottom