Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

nikushukuru sana Brother. Nina ticket mkononi ya Israel. Next yera twende ndugu yangu, Ukale zara za mto Jordan na ule Mlima.

Nikutakie kheri na baraka zaidi wewe na familia yako na woote uwapendao Kaka mkubwa. na Mwaka 2015 ukawe mwaka wa kukumbukwa kwa meema meengi na ufumbuzi wa changamoto za kila leo. Many blessings!!!!

Kila la heri Mkuu Tized naona uko njiani kwenda kuhiji naona mnapanga mikakati ya yatakayojiri kwenye hija. Kila la heri mie nawatakia hija njema.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK karibu sana mlimani mkuu kupata maji na baraka za wazee wetu huku ambao tumewaacha mwaka mzima na sasa tunaenda kuangalia afya zao
Naamini utakuwa na kila la heri katika msimu huu na utauanza mwaka mpya kwa mafanikio na baraka zake Mungu akitangulia na kukubariki wewe na familia yako
Mkuu BAK ni wakati wa kusema asante kwa yote mema uliyoyatenda kwa mwaka huu mzima na Mungu akubariki yakazidi kuwa mema na baraka zake zikazidi kuwa juu yako
cc Tized
 
Last edited by a moderator:
hongera hendisamu na Geneous wa kijiji... jitahidi kulinda na bikra ya uani unaweza kujikuta unalinda bikra ya upande moja tu midume unayosoma nayo ikakuona bwabwa....... VITAKUTAFUNA.
 
Last edited by a moderator:
Niwashukuru kwa dhati kabisa, Mr Rocky na BAK mmekuwa ''perfect Brothers'' and friends to Me. I can't thank you enough brothers, I can only send you my prayers and best wishes. It worth it, 2014 was such a great year and I have learnt a lot from you guys.

Asanteni sana kwa kuwa Mlivyo.

BAK karibu sana mlimani mkuu kupata maji na baraka za wazee wetu huku ambao tumewaacha mwaka mzima na sasa tunaenda kuangalia afya zao
Naamini utakuwa na kila la heri katika msimu huu na utauanza mwaka mpya kwa mafanikio na baraka zake Mungu akitangulia na kukubariki wewe na familia yako
Mkuu BAK ni wakati wa kusema asante kwa yote mema uliyoyatenda kwa mwaka huu mzima na Mungu akubariki yakazidi kuwa mema na baraka zake zikazidi kuwa juu yako
cc Tized
 
Last edited by a moderator:
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?

I have seen students failing due to engaging themselves in JF.
Kasome dogo..unaweza ukawa hupendi ngono ukafeli kwa umbea wa hapa jamvini.
 
Tukimaliza ujenzi wa maabara, tutageukia upande wa library! Baadae tutaongeza vitabu, afu tutanunua madawati!
Walimu nao tutawapandisha hadhi, tutawashonea sare, iwe km jwtz, police, magereza!
 
Niwashukuru kwa dhati kabisa, Mr Rocky na BAK mmekuwa ''perfect Brothers'' and friends to Me. I can't thank you enough brothers, I can only send you my prayers and best wishes. It worth it, 2014 was such a great year and I have learnt a lot from you guys.

Asanteni sana kwa kuwa Mlivyo.

Same here Tized and BAK nikisema niliyojifunza kutoka kwa nyie friends wawili nafikiri nitajaza bure server ya JF ila nawashukuruni sana na kwa kweli mmekuwa mfano kwangu ya namna ya kubehave when we habe challenges in life. The year 2014 was and is a great year to me na uligubikwa na mengi especially the lost of my father (May His Soul Rest in Eternal Peace) ila mlinipa moyo sana na kwa kweli mlikuwa great friends to me
Niwashukuru sana na kuwatakia kila la kheri na baraka zake Mungu kwa mwaka unaokuja na mkawe zaidi ya mwaka huu
Thank you so much brothers
 
Last edited by a moderator:
hahahah hii kali kwa kweli.. jf bhana raha sana.
so 20 ukaiona miiingi kujitamba nayo jmn.. em focus on studies kwanza.
btw shule zinafunguliwa lini?
 
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?

haya vizuri sana
Warning
Uyo unaejisifia mpenzi wako unamsubiri utaenda kukuta mabawa tu
 
Wakuu Mr Rocky & Tized ahsante sana kwa kila kitu katika mwaka huu wa 2014 unaoeleekea ukingoni. Mmekuwa marafiki wa karibu sana na nimejifunza mengi sana toka kwenu nyote.

Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia kila la heri na baraka nyinyi pamoja na members of your families, relatives and close friends katika maandalizi ya kusherehekea X-mas na mwaka mpya ili msherehekee kwa furaha zote na kuumaliza mwaka huu salama salmini. Pia nawatakia kila heri na baraka katika mwaka mpya wa 2015 uwe na baraka tele kwenu na kila mlitakalo pamoja na familia zenu lifanikiwe kwa kiwango cha juu kabisa.

Ahsanteni sana Wakuu.
 
Last edited by a moderator:
mi mbona niko 30's bado naitunza bikra yangu hiyo 20 sio kitu na niliishia st seven miaka hiyo
 
Mkuu BAK sitaki kuquote yote ila asante sana mkuu japo tumevamia uzi wa watu ila asante sana kwa ujumbe wako mkuu BAK
pamoja na Tized ubarikiwe sana sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom