ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,632
- 131,133
Siku hizi hata huna yale mapendo na mie....! hujambo lakini mtumishi?Nimekumiss miss...
Siku hizi hata huna yale mapendo na mie....! hujambo lakini mtumishi?Nimekumiss miss...
mbona kama uandishi huu uko ki-promo zaidi? Au macho yangu?
Siku hizi hata huna yale mapendo na mie....! hujambo lakini mtumishi?
Mmmh...hiyo competition iwapi mbona sijaiona. Ukiamua kuchepuka nipigue tafadhali coz nimesubiri hadi mvi zishaanza kuota..teeeh!! Kibebi hakijambo??Teheee sijambo mtumishi. Nimejitahidi kukuonyesha mapendometer ndo kwanza naona competition inazidi. Mi nabaki nalia wivu tu lol. Nsamehe mtoa mada ninajaribu kupata mchepuko kidogo hapa njia kuu kuna jam
Sio macho yako ndugu looo huyo analake jambo
Yaani f5 unajiona umejituuunza!! Mbona mimi nimefanya mara ya kwanza niko chuo kikuu mwaka wa pili na binti ambaye kwa sasa ni mke wangu. Tulia dogo usianze kujibaraguza we bado sana.
nitapungukiwa damu
jf ni msitu kuna watu wa kila aina, wenye busara Na hekima Na machizi pia,, umenifanya nicheke kwa jibu lako, ila unaharibu lugha dogo