Mapenzi ni majira, yanaweza kubadilika muda wowote

Mapenzi ni majira, yanaweza kubadilika muda wowote

Binti tz

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
434
Reaction score
899
1782638525273.png

Mapenzi siyo kitu cha kuamini, ni kama majira, yanaweza badilika muda wowote.

Usiupe moyo wako wote kwenye mapenzi, jua mapenzi ni sawasawa na majira kuna wakati wafuraha na huzuni.
 
mapenzi siyo kitu cha kuamini yanaweza badilika mda wote.mapenzi ni kama majira yanabadilika mda wowote Usiupe moyo wako wote kwenye mapenzi.jua mapenzi ni sawasawa na majira kuna wakati wafuraha na huzuni.
Mhhh , mapenzi hayabwezi kuwa kama majira , kwasababu ni kitu unacho jiingiza wewe mwenyewe , yakikukuta ya kukuta utajua mwenyewe , majira hayana maamuzi, kunamda kina fika kipindi cha ki pupwe , na kuna mda kinafika kipindi cha masika na vinajulikana hivi vipindi havibadiliki ghafla kama unavyo maanisha . Other wise kama yamekukuta very sory
 
Back
Top Bottom