genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 250
- Thread starter
- #121
Sisi tunaendelea kukatumia hako kabinti special.
hata mkikatumia kwan mnaondoka na hyo papuchi? hata hvo wengine ndo wanazaliwa sasa hv
Sisi tunaendelea kukatumia hako kabinti special.
Hahahahaaaa..LoL!! Mkuu Cocoa butter na zile E9 hazinuniliki tena, ni mwendo wa baby care tu (Hahahahaa) si unajua mjini kila mtu baby? Hahahahahahahaaa.
Huyu mrembo yuko juu sana kaka mkubwa, ngoja sie wazee wa kusalandia tumsalandie kama CDM alivyomlia mingo maccm.
Jini mahaba ni mburula tu kama baba yake (ibilisi), haniwezi hahahahahahahaha. Usijekuta naye ni memba huku eeh!!! Mi sijasema.. Hahahahaaaa
Hapo bold tuuuuuuuuuuuuu......Kama maandishi yanaelezea bidhaa then ni biashara.kashfa hyo mkuu! good news ni kwamba macho yako yanapoona kila kilichoandikwa ni tangazo, bidhaa ipo sokoni. anyway ni mwono wako lakin
bora umpe warning kabisa, asijeona sifa kutokuwa na binti kumbe kaoa sabuni.
Kwangu mimi hakibadiliki kitu though sijui nachat na nani wala sijali kama hapa tuna ID fake but reality remains the same kama jambo ni la kule linabakia kule kule na siwezi kulitoa hadharani. Nisamehe kama hili litaondoa uboldness to be a man ila ya sirini yabakie kule kule and if i have sex with so many gals at my age will remain my secret or sijawahi fanya sex mpaka umri fulani will remain my secret
Usiwe kama yule anayelala na msichana leo kesho anaenda kuwahadithia wenzake kijiweni kuwa jana nilisex na dada fulani truly kitendo kile kinakushushia heshima though umewaambia marafiki zako unaowaamini na ambao you know for sure hawatatoa siri
The same here maana kuna atakayekujua one day and kwenye ufukunyuku wake anapekua anakutana na thread like this one anakuchukuliaje
hatuko kwenye ulimwengu wa kivetu maana JF ni mtaa wa kivyake vyake na wapo wanaoonana na kujuana na let say it happen to you wanakufikiriaje
Ondoa hiyo dhana kuwa tuko JF hatujuani na sijui tunatumia majina fake jiweke kabisa kuwa umejianika somewhere na umeweka thread ambayo will remain kwenye server za JF for long time na kuna siku mtu ataijua ID yako na atapekua humu anakutana na hii thread
Mungu akipenda Lochionana Simba. All is well Bro.
Me tooooo............hahahahaaaaaaaaa
wise say! upo vizuri mkuu 🙂
Hapo bold tuuuuuuuuuuuuu......Kama maandishi yanaelezea bidhaa then ni biashara.
Hahahahahaha lol!!! Ni kweli binti yuko juu sana lakini kishaogopa huu mtongozo mrefu kaamua kusoma kimya kimya 🙂🙂 haya bhanaa ngoja jini mahaba akusome hapa utaipata fresh.... Aisee umenikumbusha best wangu mmoja tulikuwa kule mfaranyaki basi akawa ana mrembo wake anamtoa ugwadu lakini njemba pembeni akimuita mrembo shetani tulikuwa tunacheka sana lol!!! Jamaa ana matani ile mbaya,
Hahahahaaaaa....unaogopa nini tena ???Avatar yako yantisha mie
Bora umeelewa na karibu kwenye ulimwengu wa bold men
Hahahahaaaaa....unaogopa nini tena ???
Mnatusumbua tu kusoma maandishi yenu, sa kama hujawai tukusaidie nini au yanini sie kujua.. tok sense!!