ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,761
- 24,870
mh afadhal ww mm nina 23 lkn bado cjaguswa. mpaka nitimize ndoto zangu csomi wala nn!
nitunzie mie bby
mh afadhal ww mm nina 23 lkn bado cjaguswa. mpaka nitimize ndoto zangu csomi wala nn!
Eti 'sexual very active' kivip wakati hujawah Ku do...? Haya na 0714 bado bikra?Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.
Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:
I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.
Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?
I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?
How do u know upo "sexually very active"? na hujawahi kudo? ...it seems ni promo kweli...
Hahahahahaha lol!!!!! Uliachana na cocoa butter na kuhamia kwenye samli na alizeti? Lol!!! Huu mtongozo umeshakuwa mrefu sana mpaka mrembo ataanza kuogopa 🙂🙂 Duh!!! Njemba zote hizi zinanitaka miye tu ngoja nisepe zangu. Angalia tu usije ukarushiwa jini mahaba na nanihii lol!!!
uko sahihi mkuu. lakini sidhani kama hapa n sehemu mbaya ya kuweka siri kwani hatujuani japo fikra zetu hazibadiliki. ungenilaumu sana kama ningesimama barabaran na kusema hayo
Eti 'sexual very active' kivip wakati hujawah Ku do...? Haya na 0714 bado bikra?
Me tooooo............hahahahaaaaaaaaaHahahahahahaha Miss you deadly best
I always dream big
hapa turn ndio nilipopapenda
Nina back up ya kutosha mkuu, Tuko pamoja. ukipita uchukue Beberu moja kwa mzee nanii pale Uchira.:teeth:
sijafungwa ndoA na sabuni bhana,,,afu kabinti special kapo ila bado sijaanza kukatumia
So what?? Tukusaidieje? Nenda Kona Bar Sinza(Ambiance) ukale vizuri.
toka hapa
Nakuombea uchelewe kujua utamu wa papucc........... may ur dreams come true.