Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Kaza buti dogo binafsi nimeanza sex nikiwa na umri wa miaka 24 tena ni baada yakuwa mataani kwamuda mrefu 4 nothing!Nilipokuwa nasoma nilijiwekea malengo na hofu yakutofanya sex mpaka nitakapo maliza masomo na nilifanikiwa japo kuwa ckuweza kuyafikia malengo yangu kutokana na sababu za kiuchumi.

very inspired...we ni binadamu mzuri sana
 
Eti DUME ZIMA.... At 20 unajiita dume?? Btw nimeupenda msemo wako eti.virginity is not dignity but lach of opportunity....kuna kaukweli fulani

wewe hujamjua huyu ??

nina wax wax na iq yako
 
Afadhali mkuu BAK endelea kunipigia debe bana achana utafiti naona ashakuwa na wivu tayari

Utakuwa umenipa zawadi kubwa sana ya xmass maana naikumbuka sana perfume ya cobra aise
Asante sana Evelyn Salt

Mkuu kabanga umeona eeehh mwambie akue awe mwanaume na asibakie kuwa mvulana maana wanaume huwa hawaongei mambo kama haya

wanaume waoga huwa hawaongei mambo haya. only bold men can stand in the public and say so. welcome to the world of bold men
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuh! Dot com hiyo,mtu anasimama na bibi yake kama yupo na mtt mwenzie
kuna kuchelewa siku hizi? kuchelewa ilikuwa wakati tunapata uhuru. siku hizi foleni inakuwa ndefu na kila mmoja anahesabika amewahi bila kujali kafika leo au mwaka juzi
 
Mr Rocky ha ha ha umenikumbusha enzi hizo vikopo vya yolanda nilikuwa najipikilishia vimchezo vya kimama mama
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuh! Dot com hiyo,mtu anasimama na bibi yake kama yupo na mtt mwenzie

mnapenda kulaumu sana vijana eti dot com sijui nin nin. aya bhana nahisi kipind niny mlikua vijana mlikuwa perfect sana. luck you vijana wa zamani
 
Mkuu Mr Rocky kama mrembo Evelyn Salt atakutunuku halafu mkashindana naomba unijuze 🙂🙂

Afadhali mkuu BAK endelea kunipigia debe bana achana utafiti naona ashakuwa na wivu tayari

Utakuwa umenipa zawadi kubwa sana ya xmass maana naikumbuka sana perfume ya cobra aise
Asante sana Evelyn Salt

Mkuu kabanga umeona eeehh mwambie akue awe mwanaume na asibakie kuwa mvulana maana wanaume huwa hawaongei mambo kama haya
 
Last edited by a moderator:
Afadhali mkuu BAK endelea kunipigia debe bana achana utafiti naona ashakuwa na wivu tayari

Utakuwa umenipa zawadi kubwa sana ya xmass maana naikumbuka sana perfume ya cobra aise
Asante sana Evelyn Salt

Mkuu kabanga umeona eeehh mwambie akue awe mwanaume na asibakie kuwa mvulana maana wanaume huwa hawaongei mambo kama haya
Mr Rocky kama usemavyo wanaume huwa hatupigi kelele, sasa huyu mtoto wa kiume kubalehe juzi tu ndio hapa makelele tupu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom