Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

lol!!!! hahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye kujipaka mafuta karanga lol!!! Na nywele unapaka nini? Mafuta ya Nazi? hahahahahaha lol!

Evelyn Salt mtaa mzima hapa mimi ndio handsamu boy bana mweusi na natumia mafuta ya karanga kujipaka na bado natumia yolanda na Yu kama perfume zangu so hapo unanionaje
Ukishindwana na huyu handisamu boy njoo kwangu aise
cc BAK, utafiti, Tized na kabanga na MO11
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol!!!! Nilikuwa namtafuta Evelyn Salt yupo mtaa upi nina salamu zake 🙂🙂 ndio nikamkuta mtaa huu...Haya mie nasepa Mkuu endelea kujifagilia 🙂🙂

Hivi mkuu BAK kw asifa hizi si lazima niopoe mtoto Evelyn Salt xmass hii aise na uhandsamu boy wangu huu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Eti DUME ZIMA.... At 20 unajiita dume?? Btw nimeupenda msemo wako eti.virginity is not dignity but lach of opportunity....kuna kaukweli fulani
 
lol!!!! hahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye kujipaka mafuta karanga lol!!! Na nywele unapaka nini? Mafuta ya Nazi? hahahahahaha lol!

Mafuta ya nazi mkuu BAK na suruali navaa zile za mchele mchele na mashati ya juliana na raba zile za DH kama unazikumbuka hapo ndo nimetolezea kijiji kizima ni mimi tuu

Evelyn Salt ukishindwa kote nitakupa ishu nyengine iko vizuri

Afu wewe naona unataka kuniharibia hapa sijui utafiti umetokea mtaa gani aise
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Evelyn Salt mtaa mzima hapa mimi ndio handsamu boy bana mweusi na natumia mafuta ya karanga kujipaka na bado natumia yolanda na Yu kama perfume zangu so hapo unanionaje
Ukishindwana na huyu handisamu boy njoo kwangu aise
cc BAK, utafiti, Tized na kabanga na MO11

ha ha ha ha ati watumia yolanda na yu lol...
we ni hendisamu afu nachuro ngoja nkuletee na body spray ya COBRA!!!!
 
Mr Rocky, huyu mvulana kijana baada ya kukomaa na shule eti anajidai hapa... wacha wabuluuze..
 
Last edited by a moderator:
Kaza buti dogo binafsi nimeanza sex nikiwa na umri wa miaka 24 tena ni baada yakuwa mataani kwamuda mrefu 4 nothing!Nilipokuwa nasoma nilijiwekea malengo na hofu yakutofanya sex mpaka nitakapo maliza masomo na nilifanikiwa japo kuwa ckuweza kuyafikia malengo yangu kutokana na sababu za kiuchumi.
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.

umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano ktk mojawapo ya shule kubwa tanzania. ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:

I always dream big.kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.

physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. it seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?

I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?
 
Eti DUME ZIMA.... At 20 unajiita dume?? Btw nimeupenda msemo wako eti.virginity is not dignity but lach of opportunity....kuna kaukweli fulani

dume kichwa kinacholeta mafanikio baba miaka ni namba tu kama za simu
 
Hili jina haka kadogo nakajua haka

nina wax wax na iq yako ndio haka
teh teh teh teh
hutaki unaacha

Sio....yule hata kuandika sentensi moja ya kiswahili ilikuwa utata lakini cheki huyu alivyo na kizungu kitam
 
Mbona utakuwa umejipatia kisura cha kukata na shoka. Mrembo sana huyu binti kaumbika kila kona ya mwili wake.

Afadhali mkuu BAK endelea kunipigia debe bana achana utafiti naona ashakuwa na wivu tayari

ha ha ha ha ati watumia yolanda na yu lol...
we ni hendisamu afu nachuro ngoja nkuletee na body spray ya COBRA!!!!

Utakuwa umenipa zawadi kubwa sana ya xmass maana naikumbuka sana perfume ya cobra aise
Asante sana Evelyn Salt

Mr Rocky, huyu mvulana kijana baada ya kukomaa na shule eti anajidai hapa... wacha wabuluuze..

Mkuu kabanga umeona eeehh mwambie akue awe mwanaume na asibakie kuwa mvulana maana wanaume huwa hawaongei mambo kama haya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom