mbona kama uandishi huu uko ki-promo zaidi? Au macho yangu?
hata mie nimemstukia huo huandishi!
mbona kama uandishi huu uko ki-promo zaidi? Au macho yangu?
Wakuchoka mie mi kila siku ni honey moonSitaki kuamini kama wewe umeshachoka.
Best inaonekana Chaguzi za serikali za mitaa zilikuweka busy...maana unaonekana kama vile unadaiwa na mods......
Ukiwa tayari kutolewa bikra ni pm sawa handsome boy?
Hahahaha makubwa yani unataka naniliu ya kijana watu ama nimesoma vibaya
kwani iko na shida?
Binamu Evelyn Salt kumbe unapenda mahandsome boy na mimi ni handsome boy wa mtaa wetu naishi hungumalwa hahahahh
Nilikuwa namwandikia mwone Hoe kwa ,msaada zaisi I kumbe ushafika UKo fit
Wengi hawataamini na kuichukulia kama stori tu lakini huu ndio ukweli wa maisha yangu niliyochagua na ambayo nadhani ni chaguo sahihi linalopendeza machoni mwa mungu na wanadamu.
Umri wangu ni miaka 20 nasoma kidato cha tano katika mojawapo ya shule kubwa Tanzania, ni shule ya wavulana na pia o level nilisoma shule ya wavulana. npo katika uhusiano wa kimapenzi lakini sijawahi kula papuchi tangu nizaliwe kwa kuhofia magonjwa na kushindwa kutimiza ndoto zangu:
I always dream big kwangu sikubaliani na wanaoamini" VIRGINITY IS NOT DIGINITY BUT LACK OF OPPORTUNITY" .opportunity comes on my way maybe bcoz am handsome or else intelligent but I let go since am not ready.
Physically am fit and sexually very active but I got the power to control such desire. It seems that am living happily and without sex. MY CALL TO ALL SONS AND DAUGHTERS OF THIS FORUM WHO ARE STILL IN SCHOOL, DONT YOU SEE IT WISE TO STAY FAR AWAY FROM SEX?
I have seen many students failing to make their dreams come true due to engagement in sex but have never seen students failing due to lack of sex.
yes, am dume zima bado bikira with my future shining brightly but upo wap wewe mla ngono usiye na mbele wala nyuma?
mkuu Mr Rocky kwani we nae bikra?
mambo yangu hayo...ha ha ha