Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Jamani ndo nimetinga jijini sioni mwenyeji hata mmoja kila anaepita naona yuko busy. Hii gari ya magazeti imeniacha kuku mwanzo mwanzo kabla ya kuingia DAR kumbe hawaruhusiwi kuingia mjini na abiria. Nampigia Anko anasema nipande gari ya kwenda Charambe nitamkuta kituoni. Hapa sioni gari inayokwenda Charambe, naomba kama kuna mwana JF anaekaa maeneo haya anifahamishe nimtafute.