Niko dar - sioni wenyeji

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Jamani ndo nimetinga jijini sioni mwenyeji hata mmoja kila anaepita naona yuko busy. Hii gari ya magazeti imeniacha kuku mwanzo mwanzo kabla ya kuingia DAR kumbe hawaruhusiwi kuingia mjini na abiria. Nampigia Anko anasema nipande gari ya kwenda Charambe nitamkuta kituoni. Hapa sioni gari inayokwenda Charambe, naomba kama kuna mwana JF anaekaa maeneo haya anifahamishe nimtafute.
 
kwa iyo wana-jf ulitarajia kuwakuta hapo kibaha!....

gadem zako
 
  • Thanks
Reactions: RR
Pole, Mwana FA aliimba Msije Mjini we umepuuzia. Upo maeneo gani?. Unatokea maeneo gan?
 
Aisee, nitabaki mpwapwa milele. Kumbe watu wa dar hampokei wenyeji. Khaaa!
 
Ashadii, mi nataka kuja huko dar.
Naomba unipokee.

Husny wewe hutakiwi hata kuomba... genge lipo la kutosha kukupokea... Mie nitabaki tu home napika kwa ajili yako na kuhakikisha chumba cha wageni hamna vumbi vumbi... maana na feni hio usije pata mafua maana hakijatumika siku nyingi....

Lingine??
 
We! Umemjibu nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom