Niko dar - sioni wenyeji

Niko dar - sioni wenyeji

Husny wewe hutakiwi hata kuomba... genge lipo la kutosha kukupokea... Mie nitabaki tu home napika kwa ajili yako na kuhakikisha chumba cha wageni hamna vumbi vumbi... maana na feni hio usije pata mafua maana hakijatumika siku nyingi....

Lingine??

sante sana, ndio maana husninyo penda wewe.

hela zote zimeishia skukuu ya iddi....tuonane mwisho wa mwezi

Kwa hiyo huyo nduka, sijui ndiuka orijinale mmemchinjia kiluvia sio?
Naona mnakaribishana tu na kufanyiana usafi vyumba vya wageni humu wakati mpwa ameachwa picha ya ndege na ile p/up ya mwananchi communications.

Biggie acha hizo... baada ya kuona kalalama hapa imebidi tum-PM ili afurahi zaidi... Hivo maandalizi kwa hisani yake yamepamba moto...

Kwa hiyo huyo nduka, sijui ndiuka orijinale mmemchinjia kiluvia sio?

Naona mnakaribishana tu na kufanyiana usafi vyumba vya wageni humu wakati mpwa ameachwa picha ya ndege na ile p/up ya mwananchi communications.

ha ha ha!...
halaf anasahau kwamba jf members wanalala vyumba vya wageni.....

jamaa sijui jimama kaachwa kwa mathias...halaf landkruza ya posta vroooooooooooooom!...huyoooo mjini

masaburi wakubwa nyie.mtu anaomba msaada nyie mnaanza kuchakachua thread!?.harafu mkome hii tabia yenu.nduka nipm ntakupeleka hadi charambe.sasa hivi nipo k/koo.mia

We nduka, unapaswa ufike utulie kwanza ujue ratiba zako zimekaaje ndo uwatafute wanaJF kama unawataka....wako bize na maisha kusaka mshiko mji mgumu huu bana ati....karibu jijini sana upate raha na karaha

ndaku mmemtosa, mimi mtanipokea kweli? Dah! Ngoja nicancell haka kasafari hadi upepo utulie.

sijakuambia wana jf watakupokea. Mimi nitakupokea.

Similar Discussions

Back
Top Bottom