Niko bar na mama yenu, nashindwa kabisa

Niko bar na mama yenu, nashindwa kabisa

Siku nyingine uvae miwani ya jua ile nyeusi.

mizigo ikipita unatumbua macho vizuri tu na shemeji hakustukii
Mtu wa maana kabisa... unaona huyo muhudumu aliyevaa kikaptula mipaja yote nje... mwambie bili yako aiweke kwenye yangu nitalipa
 
Hata akishuka na ndege focus iwe hapa mezani tafadhali!
Hii ndio shida, mtu unachunga shingo inapoangalia, unachunga kiasi ninachokunywa wakati ni weekend, mtu anachunga tip za kumuachia muhudumu...

Yaani tafrani.
 
Back
Top Bottom