cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176




hajui huyoo.



hajui huyoo.
Mkwe! Wewe hutaki mkeNaomba nimtaje pm,
Mbona nimepita hakuna hata receptionist 🤣🤣🤣hajui huyoo.
Basi baki nalo silihitaji hata😂ibakiii hivyoooo!!!
Nimeacha request yangu pale, hebu fanya mambo basi 🤣🤣🤣na unajua hakuna cha buree mjinii.
Lile jukwaa lilishapigwa Pini halipo kabisawee mie sitaki kuhongwaa, si ukaongee na moders,
Oya ndugu yetu ame zila 🤣🤣🤣
Lile jukwaa lilishapigwa Pini halipo kabisa




kwan unadhanii hata hao moders watakubaliii? Ndo nkajibuu ibakiii hivyoooo.
Ukale hata prons na mihogo weweMimi siendi
Utaogelea?
Mshana Jr uchawi😂😂😂
Mkuu we acha tu, na kipindi kile Jamiiforums ilikuwa ina operate virtually, na watu wengi walikuwa wanashusha nondo za nguvu zile quotes zako na reactions kwa Member ndio zilikuwa zinaleta ukaribu. Halafu watu wengi humu walikuwa wana misimamo kwenye hoja. Majukwaa yalikuwa yamegawanyika kabisa. Members fulani ni MMU, Members fulani ni Siasa, Members fulani walikuwa kwenye jukwaa la dini. Sio siku hizi uzi wa Siasa unaanzishwa hata kwenye jukwaa la Sports. Kuaminiana ndio kulikuwa kunaanzia hapo.
We ulikua mtabe wa nnMshana sidhani kama alikuwepo
BAK ni entertainment
Faiza Foxy ni Siasa na Udini