Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,149
- 43,097
Siasa na dini.We ulikua mtabe wa nn
Sema nilitaka kuyakanyaga kwenye jukwaa la dini sitosahau aisee. Nitaeleza baadae simu inakata chaji
Siasa na dini.We ulikua mtabe wa nn
Jina lake ep.........nMkwe! Wewe hutaki mke
Taja herufi ya mwanzo mimi nitamjua nianze kazi chap december tule ubweche
Acha pombeJina lake ep.........n
Kwasasa mimi jf ni mgeni🤣Mkuu,
Hivi umepotelea wapi mzee? Ujue naona like yako nikajiuliza hii muzee ilikuwa wapi?
MkweAcha pombe
Tayari hahawala sio uongoo!!!
Abee mkweMkwe
Apigiwe makofi asee kwa kuonesha hisia za kuipenda Jamii forum kutokana Moyoni.Apigwe au apigiwe?
Aaah mkuu,Kwasasa mimi jf ni mgeni🤣
Haupo pekeako Kuna Muda wife huwa anakasirika sababu ya Mimi kutulia na kua busy busy na simu jamii forum..Aisee humu JF Kuna nini.
Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.
Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi
Naipenda JamiiForums mno
True😅Sifa za watu wanaopenda huu mtandao ,ni watu wa kimya kwenye jamii wanaopenda kuzungumza kimoyo moyo.
4shuaTrue😅
Mkwe we wakiita nimeelewa?Abee mkwe