Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Nina watoto wawili.
Agizo la Mungu nishatimiza.

Naendelea kutafuta hela na elimu.

KUOA HAKUNA MAANA.
Kwasababu hata hao waanzilishi wa dunia walikutana na kuanza kugongana na kutoa watoto.

Hawakuoana.

#YNWA
Wawili Wachache sana, acha uvivu aiseeee, Nina wanne Hadi sasa na wawili wako njiani soon.....
 
Chakata mdogo wangu, wamekuja na kauli mbiu mtafute ela, msibishe tafuteni na wao wakubali kuja kuzitumikia pesa zenu.

Swala la mapenzi tunakwenda kulifunga rasmi sasa hivi tukubaliane kwamba ni biashara na tusisingizie eti kuna mapenzi hakuna.
Yawe ya kweli au ya uongo ila MAPENZI NI BIASHSRA.
Huna hela then HUNA CHAKO..!!

#YNWA
 
Hii dunia inapendeza kuishi miaka ya wastani tu kwa raha mustarehe kuliko kuishi miaka mingi kwa stress kisa eti mke ni ujinga mtupu.

Binadamu tukilijua hili nadhani Dunia itakuwa sehemu salama sana.
 
Mungu hakuagiza tukaoane..

Agizo la kwanza lilikua "ZAENI MKAONGEZEKE"

Zaeni na sio OANENI MZEA.

Alianza direct ZAENIIII ......

#YNWA
Alisema "zaeni mkaongezeke" baada ya kumpa Adamu mke. Kabla ya hapo Adamu hakuwa na mke wa kuzaa naye. Hivyo utaona BWANA MUNGU ndiye aliyeanzisha ndoa.
 
Alisema "zaeni mkaongezeke" baada ya kumpa Adamu mke. Kabla ya hapo Adamu hakuwa na mke wa kuzaa naye. Hivyo utaona BWANA MUNGU ndiye aliyeanzisha ndoa.
Walioana wapi?
Mahari alipokea nani?
Na mshenga je alikua nani?

#YNWA
 
Kumuoa mtu Ni kubeba historia yake na vyote vinavyomhusu kuvileta katika maisha yako.
Ukiweza kuzishinda hisia we mshindi.
#HATUOIKAMWE
 
Back
Top Bottom