Nikiwa na rafiki yangu mpendwa

Nikiwa na rafiki yangu mpendwa

7e0f05325a335bd31442b518cc6d5fb2.jpg

Hapo Msagwaji ni huyo wa kulia au kushoto?
 
Fb imehamia JF aiseee!,hili ni tatizo Mod inabidi kuwe usahili kabla kujiunga,hii style sikuwahi kuiona kbs ya mtu kutuma pic eti Nipo ma mshikaji

Max melo kakubali mpaka kulala Mahabusu kulinda Privacy yetu lakini Kumbe kuna Mchanyato hawajielewi
 
Tatizo ni hii rangi ya JF inafanana na ya FB...founder badilisha theme iwe hata ya kijan..apa si unaona watu wanavyochanganya?
 
Sikia mzee, siyo kwavile umeona 'jamii photos' ukadhani huku tunaleta picha zetu, mwenye mawazo kama yako alikuepo anajiita bikra La... Uzi wa kwanza umeweka picha watu wamekuonesha hivyo vitu huku si mahala pake ila unaonekana huelewi.

Jifunze kuendana na mazingira ya eneo ulilopo.
 
Mungu anipe miaka kadhaa ya kuishi najua siku jf ntaona mtu akipiga picha anakunya
 
Yegho kutiki wasuu?? Umetoka mwaroni kupiga kokoro ukanunua zako simu mtelezo katika kubrowse kwako ukakutana na JF ukaona ukauze sura kwanza.
Itakuwa picha zako unapost kila mahala huko uliko, achana na huo ushamba itakuja ikiume sana nafsini huko mbele ukijatambua.
 
Back
Top Bottom