PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,258
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa wamepotea njia hao walikuwa wamepakia kwenye ungo mshana junior kawaona kawashushia humu ila walikuwa wanaelekea nchi ya Facebook
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa wamepotea njia hao walikuwa wamepakia kwenye ungo mshana junior kawaona kawashushia humu ila walikuwa wanaelekea nchi ya Facebook
Mkuu hao sasa ndo maGT ambao huwa tunabishana nao humu!!Jamii forum soon inaelekea kuwa Instagram
Teh Teh Teh Teh Teh Teh!! Jamani mods tuoneeni huruma
Wewe ni msukuma wa Chato?
Wakwetu umechemka balaaPOA! Poa!
Atakuwa wa usukumaniWewe ni msukuma wa Chato?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wakwetu umechemka balaa
Huku Jamiiforums hatutumii majina halisi na wala hatuweki Picha za sura zetu, najua hujajua tofauti ya huku na Facebook.
Acha Mara moja hiyo tabia tena hilo jina(ID) achana nalo fungua lingine[emoji23] [emoji23]
Umejitahidi mkuu makunja au furaha ya NECTA ??POA! Poa!
Fb imehamia JF aiseee!,hili ni tatizo Mod inabidi kuwe usahili kabla kujiunga,hii style sikuwahi kuiona kbs ya mtu kutuma pic eti Nipo ma mshikaji