Nikiwa na rafiki yangu mpendwa

Nikiwa na rafiki yangu mpendwa

7e0f05325a335bd31442b518cc6d5fb2.jpg
Mkuu ungeweka ile ambayo uko na shemeji yako ningekuona wa maana sana. Huku sio fb usituletee mambo zako za kijijin mkuu
 
Hahahahahahaaa nahus filter inahitajika jf
 
mkuu inamaana huyu kijana kakosa sehemu nzuri na safi ya kukaa hadi kaenda kukaa kwenye mitaro ya maji?
1485774437989.jpg
1485774516981.jpg

Ebu ngoja kwanza mwenyewe athibitishe kama niyeye kweli../[emoji12] [emoji12]
Maana kuna jambo ninawaza kwa sauti hapa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaa duuuu we mdukuzi ungeweka ile anasema yupo na shemeji yake.
 
Mkuu ungeweka ile ambayo uko na shemeji yako ningekuona wa maana sana. Huku sio fb usituletee mambo zako za kijijin mkuu
Hahahaaaa hawa nawaona wanataka kuwaibia vingasti vyenu humu wamejivulia kabisa waonekane watu wa mazoezi vifua vyenyewe vyaonekana vya kubebea matenga ya nyanya
 
Back
Top Bottom