Nikitaka asubuhi lazima aombe udhuru

Nikitaka asubuhi lazima aombe udhuru

Nilifikiri hakupi, kumbe kwenda kunya na kukojoa tu....
 
Tangu kuibuke mitandao ya kijamii vijana tumekuwa malimbukeni....tunadhani kila jambo ni la kuleta mitandaoni....jambo kama hili unatuuliza sisi kwani sisi ndio tunaokata gogo...kwann usimuulize mhusika pindi akirudi kutoka chooni nadhani ndiye atakuwa na jibu sahihi....kwa sababu hapa kiukweli hakuna mwenye jibu sahihi zaidi ya huo mchepuko wako....jamani mambo mengine mjaribu kutumia vichwa vyenu kabla hamjapost....

Kumbe na wewe umeliona hilo eeeh…,mi hata sijui kama anahitaji jibu kwanza,naona ameamua tu kumdhalilisha huyo anaemuita Mchepuko wake…!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom