Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Mshana Jr katika ubora wake. Ni kweli tupu. Na watu wa aina hii ni washika pesa yaani huwa hawakaukiwi. Kifupi ni watu wa ngekewa au bahati kubwa.Una nyota ya jaha..ama una ngekewa! Makinika na uHai wako.. Wakikuotea wanatetembea na wewe wakugeuze msukule wao