Nikikaa kwenye biashara ya mtu, siku hiyo lazima wateja wawe wengi. Nini siri ya hii hali?

Mshana Jr katika ubora wake. Ni kweli tupu. Na watu wa aina hii ni washika pesa yaani huwa hawakaukiwi. Kifupi ni watu wa ngekewa au bahati kubwa.
Nilishawahi kuwa na mpenzi alikuwa hivyo... Kila tukipanga kuonana hata kama sina senti tano mida ikikaribia napata pesa tena sio chini ya laki
 
propaganda za nyota hizo Hiv kuna watu wanaamin vitu Hiv mpaka sasa dunia hii
 
watu wa aina hii mnaonekana mlikuwa misukule wakati fulani ila mkatoroka tunduni, ndio maana....
1,mna wivu na roho mbaya...ndio maana mkishituka watu wanatoboa kupitia ninyi mtatoroka tu sehemu hiyo.
 
Miaka ya nyuma kuna mtu alikuwa ananipa lifti kila siku asubuhi ktk teksi yake. Siku ya kwanza niliomba, zinazofuata akawa ananisubiri kabisa na njia hiyo haikuwa na daladala. Sikuelewa sababu. Akaropoka kwa mtu siku moja kuwa "yule dada akiweka kalio tu ktk teksi yangu napata abiria hadi naamua tu kwenda kulala kwa kuchoka". Ujumbe ukanifikia nikawa namkwepa.

Daah, CREOLE umeolewa ? hivi ukiwa unalala kabisa na kuamka na mimi si nitamzidi Mo Dewji... leo nakesha PM kwako kieleweke.
 
Habari wana great thinker

Nina hii hali, nikikaa kwenye biashara ya mtu mfano duka siku hiyo lazima wateja wawe wengi.

Hi hali huwa ina nitokea hata nikiwa bar. Hata kama bar hiyo haina wateja lakini siku nikichukua muda na kukaa sehemu hiyo hata kama sinunulii mtu kinywaji lazima wateja wajae.

Hii hali imekua ikinitokea mara nyingi ndugu zangu wana great thinker naomba kujua nini chanzo cha hii hali
Una tatizo la kisaikolojia.
hizo ni fikra umezijenga mwenyewe kichwani ambazo hakuna uhalisia.
 
Anzisha biashara ya vitu vigumu vigumu kuuzika tuone kama hiyo hali yako itafait.
 
Mimi kila nikimla mwanamke anaenda kuolewa na tajiri, nimewala kama WANNE wenye matokeo ya uhakika…. sijui ni tatizo!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom