Mikutano ya ccm siku zote inafuata sheria chadema ni wakaidi wa sheria lazima wadhibitiwe sana wataharibu amani
Ndo matatizo ya minyoo kuanza kushambulia ubongo.
Bububu ipo wapi?
View attachment 63926View attachment 63927View attachment 63928View attachment 63929
Hapa ni Bububu, CCM wakifanya uzinduzi wa uchaguzi mdogo shughuli iliyoongozwa na makamu wa Rais Dk Bilal. Hii ilikuwa ni Tarehe 2 September, siku ambayo CDM walipotaka kufungua tawi na kufanya mkutano wao wa ndani pale Nyororo (Mfindi) na baadaye Polisi kuleta vurugu na kusababisha mauaji ya kinyama ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi.