Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

Ninashindwa kuelewa kwa nini makamu wa Rais ahutubie mkutano wa hadhara wa chama katika kipindi hiki cha sensa?. sasa pale ambapo kiongozi mkubwa anapopinga amri halali inakuwaje? My take: MCHIMBI ANAYOSABABU SASA YA KUJIUZULU KUTOKANA NA MAUAJI YA POLISI NA KITENDO CHA CHAMA CHAKE KUFANYA MKUTANO WA HADHARA. MUKAMA NAYE AJIUZULU KITENDO CHA KUMDANGANYA WAZIRI WAKE (hii ya MUKAMA kwa faida ya CCM kwani tayari uongo wake umesababisha vilevile kupoteza jimbo la Igunga).
 
mkuu labda kukupunguzia hasira naomba uelewe hivi. Namba kubwa kabisa ni 0 (zero) pia zinazofuatia either ni negatives au positives.
Kutokana na mfano huo ni kuwa Tz akili ndogo inatawala akili kubwa na unaweza kujua 0 iko wapi kati ya hizo mbili.

safi sana mkuu ni somo tosha kwa mwenye akili
 
Baada ya kupitia nukuu za Dk. Nchimbi kwenye gazeti la Tanzania Daima nashawishika kusema kwamba Nchimbi anawakilisha msimamo wa serikali ju ya wanaCDM. Pia nina mashaka na tume zilizoundwa kuchunguza huku tayari waziri kama yeye kisha toa msimamo wake kwamba CDM wanahusika.
Hakika nazidi kuamini kwamba watakao vunja amani ya nchi hii ni jeshi la polisi kushirikiana na chama tawala.

source:Muuaji wa Mwangosi huyu hapa
fany hiyo 'bold/underline' iwe subject ya hiyo sentence.
Alafu nilichokuwa sijui ni kuwa kwa bahati mbaya sana kumbe hawa watawala mpaka sasa bado hawajaelewa kuwa wanaotaka mabadiliko sio cdm bali ni Watanzania!
Na Watanzania sio kwamba wamebuni tu hili wazo bali ni upepo unaovuma katika sayari hii ya dunia.

Huwa napenda sana huu wimbo: Scorpions - Wind of Change Lyrics
haka ni kasehemu tu:
The wind of change
Blows straight into the face of time
Like a stormwind that will ring the freedom bell
For peace of mind
Let your balalaika sing
What my guitar wants to say
 
Naomba kuulza wenye historia nzuri ya huyu jamaa haswa kwa wazazi wake kama hawakuwa walevi inavyoonekana wakati anatungiwa mimba wazazi wake walikuwa wamelewa na mathara yake ndio hayo mpaka leo. hana uelewa wowote ule hata ukimpa kuongoza kundi la nguruwe atashindwa maana hana maadili tangu kwa wazazi wake
 
Tunaweza kuelewa uzito wa jeshi la polisi kusema wanatekeleza amri ya kusimamisha shughuli zote za kisiasa mpaka sensa ipite. Boss akisema ni amri.
 
yaani kati ya mawaziri wasiotumia kichwa kufikiria naona na huyu ni mmoja wapo. Napenda watanzania wenzangu tujue elimu ya darasani haswa kwa bongo na kwenye vyuo uchwara vizalisha utumwa wa mawazo kabla ya mtu kutumia taaluma yake anatuka kama dhana ya kunyanyasa wenzake ndio viongozi kama Nchimbi kwanza hajitambui. Pili kichwa na akili yake ni vitu viwili tofauti. tatu malezi nitatizo kubwa sana kwa mtu kama Nchimbi na nne kulewa madara na kujiona atakaa kwenye madaraka milele.
 
Nchimbi pamoja na kukaa kote kwenye siasa hamna kitu hata kimoja anachoweza kujivunia amefanya zaidi ya mauaji ya raia wasio na hatia.. Then leo anasema hakuna waziri kama..nani kamdanganya tunamhitaji..!!
 
View attachment 63926View attachment 63927View attachment 63928View attachment 63929

Hapa ni Bububu, CCM wakifanya uzinduzi wa uchaguzi mdogo shughuli iliyoongozwa na makamu wa Rais Dk Bilal. Hii ilikuwa ni Tarehe 2 September, siku ambayo CDM walipotaka kufungua tawi na kufanya mkutano wao wa ndani pale Nyororo (Mfindi) na baadaye Polisi kuleta vurugu na kusababisha mauaji ya kinyama ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi.

Mkuu Hizo picha za nyinyiem ni za kikao cha ndani
 
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.

My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.

He aint got any pride to swalow in the first place
 
kama hakuna hata polisi mmoja alaiyeshikiliwa mpaka sasa, na ushahidi unaonyesha polsi waliokuwepo kewnye tukio la mauaji.Huo uchunguzi utasaidia nini kama sio kiini macho.Nchimbi anayo majibu ya hiyo tume ndio maana amegoma kujibu kiuungwana hilo swali la kujiuzulu.
 
mkuu mikutano na mikusanyiko ilikatazwa pande za iringa tu lakini maeneo mengine ilikuwa ruksa. What a msumeno unakata pande moja!

hata mwana, walifanya mkutano bila shida, ingwawa hawakuwa na kibali cha polisi, lakini walimaliza salama
 
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.

My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.

Just Nuts,...akili za samaki! Ukichukua Wana-CCM 10 (Nchimbi inclusive) popote pale uwezo wao wote kwa pamoja ndio utapata mawazo ya CDM mmoja! Analyze na kujipatia majibu kuwa Nchimbi anajilinganisha na nani, na akina nani watamkosa! Useless man! Kama Sitta alivyosema wakati CDM inaye Dr Slaa pekee, CCM wanao more than 20 kwa Urais, ideally, sita anamaanisha watu 20 wamepangwa kuchujwa ili apatikane wa kushindana na Dr Slaa, which hawawezi, na pia hayupo wa kuweza kulinganishwa naye au kumshinda, na ndio maana sasa wanalitumia hili jeshi la POLISISIEMU! Labda wangeweza kusimamisha zaidi ya Wagombea wawili hadi 10 kupambana naye ktk nafasi ya Urais! Sasas Wana-manga-manga tusasa! They are finish! Useless feagures!
 
Back
Top Bottom