Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

Inaonekana huyo mkubwa anakuruza sana nyeto.,sasa mtarimbo unakuwa umezoea zaidi mkono kuliko uke kutokana na tofauti hiyo ndio maana ukikutana na uke tu kidogo unacheua na kulala doro.
 
One minute man lwanakuwa na tatizo moja au zaidi kati ya haya, 1) Unajiona mzuri kuliko wanaume wote duniani, na pia uko intelligent kuliko wanaume wote duniani.2) Unataka mwanamke asiye na dosari. 3) Uliwahi fanya mapenzi na demu wa rafiki yako. 4) Umewahi fanya mapenzi na mke wa mtu. 5) Umeshavunja ndoa ili uwe na huyo mwanamke, ambaye baadaye unambwaga pia. 6) Una matatizo ya kijamii na kuichumi.

Hayo yanafanya mwanaume afikie mshindo mapema na baada ya hapo ndio basi tena mtarimbo unalala doro hadi baada ya siku 3 au hata wiki. Hii ni kwa sababu, kwani mind yako inakuwa unsettled.
 
ahahahahaah...pole sana mkuu ila sio ishue sana kwa kupiga cha kwanza fasta kama unavyosema ..wapo wengine hicho cha kwanza akiwa anamchojoa demu kinatoka hewani..sio issue cha kwanza kuwahi...issue ni cha pili kutokuja mpaka kesho tena...hapo ndio naona tatizo..chunguza katika haya yafuatayo...

1- je unakuwa upo fresh kichwani kwako ..mean huna stress yoyote kama madeni unadaiwa uoga wa kitu au kazi kibao zinakusubiri kumeet deadline nakadhalika?
2- huyo demu unampenda kweli?...au mzee unalia njaa ukibutua mpira unakwisha maisha yanaendelea?
3- kiwango cha utundu wa demu anachokitoa kipo vipi?...mademu wengine hawajui hata kumuhamasisha mwenza kufanya zaidi na zaidi....mie yupo demu huwa nikikutana naye bila goli 4 huondoki chumbani...na ukiachana naye bado kitu imesimama imara kama kifimbo cha mwalimu...
4..jaribu kukamatia demu mwengine uone tofauti ya maujanja kati ya demu na demu utakubali tunamaliza mabucha nyama ile ile tofauti mapishi ya hiyo nyama...
5...tumia pombe kali kiasi flani inasaidia kuweka kitu imara kwa muda mrefu

ni maoni tuu wadau

Kweli ni maoni tu ila jua unaweza kumpotosha na kumpoteza mtu ivi ivi badala ya kumjenga!!!!!
 
[/B]

Kweli ni maoni tu ila jua unaweza kumpotosha na kumpoteza mtu ivi ivi badala ya kumjenga!!!!!

da haliama unajuwa sio kila ushauri unakuwa mbaya kwa vile jamii haiukubali...kwa mfano ..ukitumia pombe kali kiasi inasaidia kuongeza msukumo wa damu...na kibaiolojia unatakiwa msukumo wa damu kuelekea uumeni ili uume usimame..soo.. kama unalala mapema ukiwa ulitumia pombe kali unasaidia kuongeza msukumo wa damu na inaelekea kichwa cha chini ambako ndio kunatakiwa kusimame...

kujaribu na demu mwingine ni katika kutengeneza saikolojia ya muathirika...maana kila demu anakuwa na ujanja wake na flava zake...

-wapo wanaolialia kwa maumivu ya utamu kiais kwamba wazeiyaaa hufurahia na kuongeza performance,

-wapo wanaozungusha nyonga kiasi kwamba unajikuta mwanaume unaperform magoli ya ajabuajabu hata hujielewi umewezaje...

-na wapo tunaowaita magogo..hawa shughuli yooote yako mwanaume....

hii inamsaidia muathirika pia kwa kutumia mazingira tofauti ya kufanya tendo hili...

amini nakuambia...anayefanya mapenzi kwenye natural environments kama beach, mbugani/porini ..anafanya vizuri kwa 50-75% zaidi ya yule anayefanyia guest/hotel katikati ya jiji au hata nyumba zetu za kupanga manzese...

wee utapiga vip goli 3-4 wakati unafanyia manzese na watoto wa jirani wanapiga chapo plus joto linaloletwa na kelele pia za feni zetu za pangaboi....ni maoni tu dada halima
 
kunywa majani ya alovera kama uko bongo ni
PM
BURE NAKULETEA MWENYEWE ANAULIZA LEO MBONA HIVI
AU UNATAKA KUNICHANA SEHEMU ZANGU KUMBE MWANAUME WAPI

NJIA NYINGINE USIKIMBILIE SEX;HII ILIKUWA SHIDA YANGU NIKATESEKA NAYO KWA MUDA NA KUREKEBISHA;WE LA KUFANYA ANZA ROMANCE KWETU WANAITA KIKWEKAWE
MWANMKE ANAITJI KUKOJOA KAMA WEWE NJIA YA KUMRIDHISHA KUNA KITU KINAITWA KINEMBE,AMA PECTORIOS KAMA SIJAKOSEA,UKIWA MTAALAMU WA KUNYONYA HIKI KIDUBWASHA KIKO KAMA SWITCH YA GARI UKIBAAHATIKA KUKIPATA KAKA NYONYA LAMBA TEMEA MATE WALAHI HUYO MWANAMKE ASIPOKUSHUKURU KIMBIA;YAANI CHEZEA KWA RAHA ZAKO ATAFIKIA KUKWAMBIA NIININGIZE JAMA NI NAKOJOA NIINGIZE MWAMBI HOLD ON BABY MBONA YEYE AKUKWAMBIA WAKATI YANAKUKUTA AKIKOJOA KAKA USIKIMBILIE KUINGIZA;MPE NAFASI AKUCHEZEE KAMA MTAALAM MPE NAFASI ACHEZEE STICK YAKO YAANI FIMBO YA KIUME....MPAKA UKOJOE,NAJUA UTAKUWA HOI PUMZIKA VUTA SASA FEELING ZA MAPENZI INGIA UONE KAMA UTAMWAAGA...LABDA BREAKDOWN IJE KUKUTOA
 
Tatizo lake linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyofikiria, na ni la kisaikolojia au kibailojia zaidi. Akimwona daktari wakaongea kwa kirefu anaweza kupata ufumbuzi.

Kwa kumsaidia amwone docta Ndodi amsaidie vinginevyo huyo demu wake akikutana na watu kama mimi jamaa atasahaulika kabisa.
 
Naomba nitafautiane na wengi wenu munaetaka jamaa atumie kilevi ku delay ejaculation. Mwishowe utakuja kuwa mlevi. Utaanza kuongeza chupa na utakua addict. Ushauri wangu unatokana na experience. The same happens to me na jana tu it happened but mimi naendaga hata for 30 minutes baada ya kukojoa. siri nii hii:
1. Kama unaenda kavu (bila condom, inakuwa rahisi zaidi), ukikojoa, usiache kumuride. Endelea na speed hiyo hiyo. Ukipunguza speed, italala. Najua ni ngumu mwanzo lakini with practice, utazoeweya. Ukikazana na speen hiyo hiyo, utaona ina recover stiffness. Itadinda na ugumu ulele then go for the second round. Second round itakuchukua mda kuipata.
2. Kama unatumia condom, endelea pia hata wakati umekojoa. just be careful usije ikavulika condom. Ukirecover stiffness wakati unaendelea baada ya kukojoa, badilisha condom haraka na endelea.
3. speed. Usiwe una mride fasta. Maranyingi sisi wana ume tunadhan kumuridhisha demu ni kuride fasta. nooh. ask her for the speed limit. akambie yeye anataka umfanyeje.
4. Dont tell or show the girl umekojoa ile ya kwamba. ina drop morale yake. anaacha makeke sabab wewe umeshafika.
Ushauri wangu ni usitumie dawa au kilevi. Kama vyote hivyo they don't serve long term. Utakuawa mtumwa mwishowe.
Ukiwa na swali, just ask. I bet utafanikiwa.
Good luck.
 
kuna jamaa anaitwa dk mgaya jamani huyu mwisho
kama uko na muda nenda pale namanga karibu na st petro
uliza kwa mgaya kwa kujiandikiasha 15,000 iwe mkononi baada ya hapo kila ukimwona 10,000 kazi kwako
 
Pape,
Ndugu yangu kwanza pole sana.
Pili nakusihi sana usitumie madawa wala kilevi cha aina yoyote kama ulikuwa hutumii.
Kitaalamu hilo la kuwahi 'kumwaga' na kama baada ya hapo utaendelea hata kama utapumzika dakika 40 basi hilo si tatizo sana.
Nakupa ushauri huu, kwani binafsi ilishanitokea toka nikiwa na barehe. Baadae nilichunguza, na nikaanza kusoma vitabu.
Ushauri wangu ni huu ambao binafsi umenikomboa:
1: Mazoezi ya mwili.
-Mazoezi ya viungo ni muhimu kuliko watu wengi tunavyodhani. Jitahidi kufanya mazoezi hata dakika 20 asubuhi na ukiweza usiku pia, kwa kila siku utaona tofauti kubwa sana katika mwili wako. Kawaida watanzania wengi hatuna mazoea ya kufanya mazoezi. Na Pape kwa kukuibia tu usidhani mazoezi hadi uende kiwanjani! Hapana. Hata chumbani kwako panatosha kabisa kuweza kukimbia hata mita 5000! unaweza kufanya mazoezi ya setapu kutoa kitambi. Piga pushapu 20 hadi 50 kila siku asubuhi utaona mabadiliko.
2: Concentration
Nilikuwa nasumbuka sana katika kufanya mapenzi kwa maana mara nyingi mawazo yangu yalikuwa mbali na gemu. Kwa hiyo jaribu kuyaweka mawazo yako kwa mpenzi wako na kwenye gemu kwa ujumla. Saikolojia ni muhimu sana iwe kwa huyo mpenzi wako. Kama inawezekana zima hata simu ili isikutoe katika gemu.
3: Muulize anachotaka
Muulize mpenzi wako nini hasa anataka umfanyie mkiwa kwenye gemu. Kwa mfano kama unategemea kukutana nae kesho jaribu kumchombeza kwa kutumia email au sms kuwa anatamani umfanyie nini kipya mkikutana kwenye gemu? Akikwambia nawe kamfanyie hivyo hivyo. Nimeitumia sana hii mbinu nami nimekuta nikimridhisha sana mke wangu. Na yeye amekuwa wazi kwangu nami nakuwa wazi kwake. Usiogope kumuuliza.
4. Vitu vya asili.
Pape ndugu yangu matunda, maji na kula vizuri mboga za majani ni vitu vya muhimu sana kuujenga mwili wako. Juice ya alovera ni nzuri pia. Lakini kama mwili wako hufanyi mazoezi na kula vizuri basi juice itakosa support ktk mwili. Suala la karanga pamoja na korosho sijui na pweza nasikitika kusema ni imani tu za watu. Karanga na Korosho zinaongeza protini kwa wingi tu mwilini. Lakini kama wewe mwili wako unataka ule karanga na korosho kwa ajili ya mapenzi tu tena mara moja moja kwa miezi mitatu usidhani kama zitajenga mwili wako.
Nashukuru maana itakusaidia.
 
Tatizo lake linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyofikiria, na ni la kisaikolojia au kibailojia zaidi. Akimwona daktari wakaongea kwa kirefu anaweza kupata ufumbuzi.

Hapana tatizo wala sio kubwa kama wewe unavyosema. USHAURI WANGU: Wakati unataka ku-enjaculate' pour oustside' hapo mzee atabaki imara na utaendelea hadi mwenzako aridhike. Mimi ushauri kama huu ulinisadia. Lingine umeambiwa punguza concetration, think of something else utaona matokeo. Ukishindwa kabisa muone 'Dr. Kifimbo (Hii uende mwenyewe sikushauri)
 
ahahahahaah...pole sana mkuu ila sio ishue sana kwa kupiga cha kwanza fasta kama unavyosema ..wapo wengine hicho cha kwanza akiwa anamchojoa demu kinatoka hewani..sio issue cha kwanza kuwahi...issue ni cha pili kutokuja mpaka kesho tena...hapo ndio naona tatizo..chunguza katika haya yafuatayo...

1- je unakuwa upo fresh kichwani kwako ..mean huna stress yoyote kama madeni unadaiwa uoga wa kitu au kazi kibao zinakusubiri kumeet deadline nakadhalika?
2- huyo demu unampenda kweli?...au mzee unalia njaa ukibutua mpira unakwisha maisha yanaendelea?
3- kiwango cha utundu wa demu anachokitoa kipo vipi?...mademu wengine hawajui hata kumuhamasisha mwenza kufanya zaidi na zaidi....mie yupo demu huwa nikikutana naye bila goli 4 huondoki chumbani...na ukiachana naye bado kitu imesimama imara kama kifimbo cha mwalimu...
4..jaribu kukamatia demu mwengine uone tofauti ya maujanja kati ya demu na demu utakubali tunamaliza mabucha nyama ile ile tofauti mapishi ya hiyo nyama...

5...tumia pombe kali kiasi flani inasaidia kuweka kitu imara kwa muda mrefu

ni maoni tuu wadau
pombe kali kama ipi?
 
Wakati unataka ku-enjaculate' pour oustside' hapo mzee atabaki imara na utaendelea hadi mwenzako aridhike.

Yeah kweli kabisa hii njia ni nzuri sana na applicable mm j2 nilipiga 3 in 1 safi sana.
 
kunywa majani ya alovera kama uko bongo ni
PM
BURE NAKULETEA MWENYEWE ANAULIZA LEO MBONA HIVI
AU UNATAKA KUNICHANA SEHEMU ZANGU KUMBE MWANAUME WAPI

NJIA NYINGINE USIKIMBILIE SEX;HII ILIKUWA SHIDA YANGU NIKATESEKA NAYO KWA MUDA NA KUREKEBISHA;WE LA KUFANYA ANZA ROMANCE KWETU WANAITA KIKWEKAWE
MWANMKE ANAITJI KUKOJOA KAMA WEWE NJIA YA KUMRIDHISHA KUNA KITU KINAITWA KINEMBE,AMA PECTORIOS KAMA SIJAKOSEA,UKIWA MTAALAMU WA KUNYONYA HIKI KIDUBWASHA KIKO KAMA SWITCH YA GARI UKIBAAHATIKA KUKIPATA KAKA NYONYA LAMBA TEMEA MATE WALAHI HUYO MWANAMKE ASIPOKUSHUKURU KIMBIA;YAANI CHEZEA KWA RAHA ZAKO ATAFIKIA KUKWAMBIA NIININGIZE JAMA NI NAKOJOA NIINGIZE MWAMBI HOLD ON BABY MBONA YEYE AKUKWAMBIA WAKATI YANAKUKUTA AKIKOJOA KAKA USIKIMBILIE KUINGIZA;MPE NAFASI AKUCHEZEE KAMA MTAALAM MPE NAFASI ACHEZEE STICK YAKO YAANI FIMBO YA KIUME....MPAKA UKOJOE,NAJUA UTAKUWA HOI PUMZIKA VUTA SASA FEELING ZA MAPENZI INGIA UONE KAMA UTAMWAAGA...LABDA BREAKDOWN IJE KUKUTOA
mkuu hiyo inaitwa critolis,ukichezea hapo lazima afike kileleni,
 
kuna jamaa anaitwa dk mgaya jamani huyu mwisho
kama uko na muda nenda pale namanga karibu na st petro
uliza kwa mgaya kwa kujiandikiasha 15,000 iwe mkononi baada ya hapo kila ukimwona 10,000 kazi kwako

sasa huyu dr anatoa tiba au kanseling? au ndio ile mikuyati,nk?
 
Yeah kweli kabisa hii njia ni nzuri sana na applicable mm j2 nilipiga 3 in 1 safi sana.

uuuh! fidel80 ilikuwa mtoto wa uswazi nn? mana wana mishemishe wale kitu haisinyai hata chembe!
 
uuuh! fidel80 ilikuwa mtoto wa uswazi nn? mana wana mishemishe wale kitu haisinyai hata chembe!

Hahahaha Zegere unajua mm nawapenda sana watoto wa uswazi kuliko hawa wa geti kali wanao iga mapenzi ya kitamthilia mapozi mengi lakini uswazi ni kurusha roho mwanzo mwisho mtu mzima j2 nikapiga 3 in 1. unaijua hiyo?
 
Mtarimbo unalala doro...
Ajaribu kupiga valuu mambo yatakwenda sawia mwambie hivyo.
...Mazee yaelekea valuuu imekupa matokeo bomba sana .. Naona maushauri yako lazima valuu iwepo...watch out bana utaua kama MC Lema (RIP)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom