Nanukuu...
Mimi nina tatizo moja ambalo linanisumbua sana! Ninapokuwa ninafanya mapenzi na mpenzi wangu waga tunaandaana vizuri tu mpaka yeye mwenyewe aniembie sasa unaweza kuingia!! Tatizo ni kwamba nikiingia tu na kuanza mara 1, 2, 3 hata kabla dakika moja haijamalizika 'ninafika mshindo' na kitu kinalala kabisa na kumuacha 'binti' akiwa hajafika popote!!
Wasiwasi wangu ni kuibiwa na manyang'au! Je nifanyaje ili niweze kumaliza naye pamoja? Au je nifanyaje angalau nami niwe nachelewa walau kiodogo hata kama ni dakika tano tu zinatosha!
Naombeni msaada wenu!
Mwanaume yeyote akifikiria ile kitu kwa asilimia 100 anaweza kuejaculate in a second. Hili tatizo kwako linaweza kusababisha mahusiano kuvunjika au mwanamke kutoka na mwanaume mwingine.
Ushauri:
1. Cocacola, konyagi na Guiness
Changanya hiyo konyagi kidogo, coca na guiness(usimalize chupa nzima), itakusaidia na ni afya(sio viagra)
2. Supu ya pweza
3. Usiingie kwa msichana kuwa chini yako. Muache akae juu ikiwezekana akukanyage usikie maumivu.
4. Usiwaze sana ukiwa unataka kuingia. Usiangalie kifuani pa msichana wako. Usiangalia makalio yake. Wala usiwaze kama unaingia. Usibane misuli
5. Tafuta kitu cha kukupotezea mawazo mfano assume mtu anachungulia nje so wakati unafanya tendo la ndoa unakuwa unaangalia labda mtu anachungulia. Unaweza kuweka movie ya kutisha.
6. Kama unafanyia kitandani, kaa karibu na mwisho wa kitanda kama unataka kudondoka ili ukijisikia kama unataka kuejaculate unatoka na kuweka nje ya kitanda(sakafuni)
7. Usiejaculate ndani yake. Ukifanya hivyo itakuwa tepetepe kwa muda na inaweza kukupunguzia ladha ukashindwa kusimama kabisa.
8. Ukishaejaculate kwa nje, jaribu kurudi ASAP ndani kwa style unayoipenda sasa. Labda doggy au yoyote itakayokupa uamsho(mara nyingi ukiona makalio inasaidia)
9. Jaribu kumbeba juu juu umesimama yeye amekushika mabegani. Hii inasaidia sana kumuamsha jamaa.
10. Ongezea za kwako mwenyewe.
Mshirikishe mwenzi wako ili msaidiane katika kufanya usiejaculate mapema. Jaribu kama mambo hayajawa vyema tujuze tusaidiane.
PIA, UCHOVU unachangia na eneo lile lile vinaweza kufanya ushindwe kuamka tena.