Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Nanukuu...

Mimi nina tatizo moja ambalo linanisumbua sana! Ninapokuwa ninafanya mapenzi na mpenzi wangu waga tunaandaana vizuri tu mpaka yeye mwenyewe aniembie sasa unaweza kuingia!! Tatizo ni kwamba nikiingia tu na kuanza mara 1, 2, 3 hata kabla dakika moja haijamalizika 'ninafika mshindo' na kitu kinalala kabisa na kumuacha 'binti' akiwa hajafika popote!!

Wasiwasi wangu ni kuibiwa na manyang'au! Je nifanyaje ili niweze kumaliza naye pamoja? Au je nifanyaje angalau nami niwe nachelewa walau kiodogo hata kama ni dakika tano tu zinatosha!

Naombeni msaada wenu!
 
Nanukuu...

Mimi ninatatizo moja ambalo linanisumbua sana! Ninapokuwa ninafanya mapenzi na mpenzi wangu waga tunaandaana vizuri tu mpaka yeye mwenyewe aniembie sasa unaweza kuingia!! Tatizo ni kwamba nikiingia tu na kuanza mara 1, 2, 3 hata kabla dakika moja haijamalizika 'ninafika mshindo' na kitu kinalala kabisa na kumuacha 'binti' akiwa hajafika popote!! Wasiwasi wangu ni kuibiwa na manyang'au! Je nifanyaje ili niweze kumaliza naye pamoja? Au je nifanyaje angalau nami niwe nachelewa walau kiodogo hata kama ni dakika tano tu zinatosha! Naombeni msaada wenu!

Ina maana huwa anaishia kupiga bao moja tu harudii tena mpaka kesho yake au siku nyingine? Kama ni hivyo aangalie atakuja kumegewa na ma-houseboy wa jirani.

Nasikia eti ukinywa supu ya Pweza upiga gemu hakuna kutepeta, mwambie ajaribu hiyo!
 
yaani anasema akimaliza kitu kinalala na hata akishituliwa kwa 'kulambwa' koni wapi....ndio labda siku zipite....wasiwasi wake ni kwamba akipanda chomboni tu anamaliza fasta wakati bibie badoooooo hata hajafika tazara!
 
Nanukuu...

Mimi ninatatizo moja ambalo linanisumbua sana! Ninapokuwa ninafanya mapenzi na mpenzi wangu waga tunaandaana vizuri tu mpaka yeye mwenyewe aniembie sasa unaweza kuingia!! Tatizo ni kwamba nikiingia tu na kuanza mara 1, 2, 3 hata kabla dakika moja haijamalizika 'ninafika mshindo' na kitu kinalala kabisa na kumuacha 'binti' akiwa hajafika popote!! Wasiwasi wangu ni kuibiwa na manyang'au! Je nifanyaje ili niweze kumaliza naye pamoja? Au je nifanyaje angalau nami niwe nachelewa walau kiodogo hata kama ni dakika tano tu zinatosha! Naombeni msaada wenu!

Pole mzee kwa kuzungusha **** moja tu unatema! Usiwe una concentrate sana unapoingia anza kufikiri manyaunyau mengine unaweza uka chelewa ila ukiwaza unganisha bao la kwanza na lapili usichomoe hapo utampatia
 
yaani anasema akimaliza kitu kinalala na hata akishituliwa kwa 'kulambwa' koni wapi....ndio labda siku zipite....wasiwasi wake ni kwamba akipanda chomboni tu anamaliza fasta wakati bibie badoooooo hata hajafika tazara!

Tatizo lake linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyofikiria, na ni la kisaikolojia au kibailojia zaidi. Akimwona daktari wakaongea kwa kirefu anaweza kupata ufumbuzi.
 
Mtarimbo unalala doro...
Ajaribu kupiga valuu mambo yatakwenda sawia mwambie hivyo.
 
ahahahahaah...pole sana mkuu ila sio ishue sana kwa kupiga cha kwanza fasta kama unavyosema ..wapo wengine hicho cha kwanza akiwa anamchojoa demu kinatoka hewani..sio issue cha kwanza kuwahi...issue ni cha pili kutokuja mpaka kesho tena...hapo ndio naona tatizo..chunguza katika haya yafuatayo...

1- je unakuwa upo fresh kichwani kwako ..mean huna stress yoyote kama madeni unadaiwa uoga wa kitu au kazi kibao zinakusubiri kumeet deadline nakadhalika?
2- huyo demu unampenda kweli?...au mzee unalia njaa ukibutua mpira unakwisha maisha yanaendelea?
3- kiwango cha utundu wa demu anachokitoa kipo vipi?...mademu wengine hawajui hata kumuhamasisha mwenza kufanya zaidi na zaidi....mie yupo demu huwa nikikutana naye bila goli 4 huondoki chumbani...na ukiachana naye bado kitu imesimama imara kama kifimbo cha mwalimu...
4..jaribu kukamatia demu mwengine uone tofauti ya maujanja kati ya demu na demu utakubali tunamaliza mabucha nyama ile ile tofauti mapishi ya hiyo nyama...

5...tumia pombe kali kiasi flani inasaidia kuweka kitu imara kwa muda mrefu

ni maoni tuu wadau
 
huyo atakuwaalikuwa anapiga nyeto sana hayo ndo madhara yake au ajiamini ambalo ni kisaikolojia zaidi alafu hofu ya kumegewa hiyo uiepuki kabisa utamegewa tu ata uwe kidume
 
Hii kwa siku hizi ni shida ya watu wengi sana...

Hawa wenyewe wanaosema hapo juu ni kwamba wanafanya artificial sex, kwa maana kwamba wanapiga ma'valeur na makonyagi mbaya kabisa, ndo wanajitutumua kwa wake zao, lakini akikaa misheni kwa siku 3 bila kuonja mawisky, utamwonea huruma akipewa dudu!.

Lakini kimsingi ujue ni hali inayowasumbua wengi.
Kaonane na daktari, au la piga za kimasai japo hazina dozi.huh!
 
umegonga ikulu kwani kila kona utawasikia wanaume wakilalamika hilo ni kilio cha wengi nahisi ni haya mavyakula ya kisasa
 
Mtarimbo unalala doro...
Ajaribu kupiga valuu mambo yatakwenda sawia mwambie hivyo.
valuuu? ndio nini?
ahahahahaah...pole sana mkuu ila sio ishue sana kwa kupiga cha kwanza fasta kama unavyosema ..wapo wengine hicho cha kwanza akiwa anamchojoa demu kinatoka hewani..sio issue cha kwanza kuwahi...issue ni cha pili kutokuja mpaka kesho tena...hapo ndio naona tatizo..chunguza katika haya yafuatayo...

1- je unakuwa upo fresh kichwani kwako ..mean huna stress yoyote kama madeni unadaiwa uoga wa kitu au kazi kibao zinakusubiri kumeet deadline nakadhalika?
2- huyo demu unampenda kweli?...au mzee unalia njaa ukibutua mpira unakwisha maisha yanaendelea?
3- kiwango cha utundu wa demu anachokitoa kipo vipi?...mademu wengine hawajui hata kumuhamasisha mwenza kufanya zaidi na zaidi....mie yupo demu huwa nikikutana naye bila goli 4 huondoki chumbani...na ukiachana naye bado kitu imesimama imara kama kifimbo cha mwalimu...
4..jaribu kukamatia demu mwengine uone tofauti ya maujanja kati ya demu na demu utakubali tunamaliza mabucha nyama ile ile tofauti mapishi ya hiyo nyama...

5...tumia pombe kali kiasi flani inasaidia kuweka kitu imara kwa muda mrefu

ni maoni tuu wadau
hahahahaha 4? kudadeki...
 
veri posibo....

Inawezekana vyakula vinachangia lakini msongo wa mawazo ndilo tatizo kubwa kwa wanaume wengi. Akionana na daktari na kujieleza vizuri anaweza kupata tiba chap chap. Hata hivyo tiba ya kwanza au first aid anatakiwa kumpatia mwenzi wake kwa kumpatia asurance badala ya kumwongezea hofu!
 
mimi ninashauri watu wasitumie hizi ADDITIVES wakati wa tendo la ndoa!....

tungejaribu kujizoesha kufanya na kujitune bila valuu!...HATARI SANA WAZEE WANGU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom