Mimi nina mapendekezo mawili tu ya kutatua hili tatizo, na ufanisi wake ni 100%.
1. Mazoezi ya mwili. Yaani hii ni dawa tosha kabisa. Jinsi unavyojenga misuli mingine ya mwili, ndivyo ile ya pale inavyozidi kuimarika. Nakuhakikishia kama ulikuwa unachukua dakika 1, anza leo jogging, kunyanyua vyuma na kuvuta spring kila siku. Utaona mwenyewe dakika zinaongezeka siku baada ya siku, zitaanza kuwa 5, 10, 15, nk na ukiwa fit zaidi itachukua saa 1 na zaidi, yaani itabidi demu ndiye awe anafanya bidii ya kukufikisha.
2. Kuongezea hapo kwenye mazoezi ya mwili, ukiwa na mwenzio mnafanya, usiweke mawazo na akili yako kwenye hiyo kitu. Unaweza kufikiria kitu tofauti. Mimi nilikuwaga nafanya hesabu la kutoa 17 kwenye 10,000, narudi nayo kinyumenyume hadi nione itaishia wapi. Yaani unapokaribia kuingiza, anza kuwaza kwenye akili yako, hivi 10,000 ukitoa 17 inabaki ngapi? Unapata 9983. Kisha unaendelea hivi 9983 ukitoa 17 inabaki ngapi? Hivyohivyo.
Hizo mbili utadumu na kila siku atafurahi mwenzio.