Nikabebe box majuu!!

Nikabebe box majuu!!

Kazi dizain hii hukosi ImageUploadedByJamiiForums1389823067.871759.jpgImageUploadedByJamiiForums1389823130.964540.jpg

Nadhani utaamini sasa nilichosema hapo juu
 
nakukubali sana mkuu kwa ushauri mzuri
Mkuu Ulaya ilikuwa ni Zamani kuzuri sasa ulaya

imeharibika ulaya ya sasa kuna nchi karibu 25 zimejiunga na kuwa ulaya sasa hebu niambie hizo zote nchi 25 za ulaya ni Tajiri? utakuta

jibu hakuna. Kwa hiyo wananchi wanaotoka ulaya ya Mashariki kama ninavyoita mimi haswa wato Toka Romani,bulgaria ,Hungary na

Poland wamejaa nchini Uingererza ,Denamrk Sweden, Finland na Ujerumani. sasa ukija wewe utapata kweli kazi? na hao wananchi wa

hicho hizo za ulaya ya mashariki wanafanya kazi katika nchi hizo za ulaya magharibi kwa mshahara mdogo tofauti na wananchi

wenyewe wa nchi zenye Utajiri kama hizo nilizo zitaja hapo juu. Ndio maana ulaya imeharibika ukitaka kuja kutembea poa sio kimaisha

ni ngumu sana kuweza kufanikiwa unapoteza muda wako tu kuja huku asante.
 
Acha dharau kijana, uliniona mwembeyanga wapi mm? Yani unadhani najipa ujiko kuwa sipo majuu? Haya lakini mie nakupa mchongo, achana na ulaya njoo uku Oceania, ulaya ndio wanaokuja daily kuomba kazi za shambani, kudeki huku nchi km Romania, Germany, Ireland, Wales, etc wako mitaani kwa jina twawaita backpackers(working holiday visa holders, kwa visa #457 ).

Last sept kabla Abbot hajawapa pm vzr wabongo 2 walijitoa mhanga kuja na boat toka Indonesia wakajimix na wacongo, iranian, afganistan etc. bht yao walipewa visas. Ila sio rhs lzm uwe risk taker wa kweli, coz kupanda boat wiki3 sio mchezo.

Tatizo ni kuwa degree yako hasa km sio bussiness related we ni ziro tu labda uwe na tradesman-qualifications

Next time uache dharau kijana

Aha aha aha!! Acha kujaa upepo kaka I didn't mean to offend you, kama jina langu linavyojieleza am very humble and funny.

Nilkuwa nataka kuchokoza mada tu na bila shaka nimefanikiwa kwa kupata data nyingi na murua sana. Nakushukuru kwa taarifa makini na safi.

Natengua kauli yangu sijawahi kukuona Mwembeyanga wala Mwembesimba kaka.

Asante jerrymsigwa.
 
Mkuu ukifanikiwa kupata Visa karibu sana serengeti.

Tutakupatia boksi lako wakati ukitafuta maboksi makubwa.

Si unajua kupokea simu na kutumia pc? Umewahi inua vitu vizito?

Teh teh teh!! Asante kwa kuonesha nia mkuu ya kunisajili dirisha dogo.

Kuhusu kupokea simu na PC, hayo yote nakutoa shaka kabisaa. Kunyanyua vitu vizito kwa kijana mwenye miaka 27 mwenye six pack ni fasheni na sio kazi.

Incase nikifika tu siku za awali nitazunguka london na viunga vyake vyote, nikate kiu yangu ya kufika majuu na sio kupata mapeni.

Shukrani.
 
Kaka mimi nipo Nchi moja kati ya ulizozitaja, nimeanza mwaka wa pili sasa,nimekuja kusoma, ajira sio kama unavyodhania,ni ngumu kweli kweli,si rasmi wala zisizo rasmi,hapa naskilizia nimalize shule nirudi faster,kisheria nchi nyingi ili upate uhalali wa kuishi mfano hapa nilipo either uje kwa gia ya kusoma au uwe umeshapata ajira na utoe details za mwajiri wako huku,pia uonyeshe benki statement yenye salio lisilopungua dola 15,000.
Ukija kwa gia ya kusoma ndio unatakiwa uwe na mshiko mrefu zaidi maana certificate tu ya mwaka mmoja itakucost si chini ya dola 10000
Bado hujalipa kodi ya nyumba, hapa napoishi ni bei ya chini dola 135 kwa wiki na ni chumba sio nyumba nzima.
Bado hujala bado hujalipa nauli! Komaa na bongo tengeneza pesa ukienda huko unakotaka uende kutembea na kurudi, kuna wabongo wapo huku zaidi ya miaka 10 hakuna cha maana wamefanya, mafanikio makubwa kununua magari tu ambayo yapo ya bei rahisi.

Mkuu uko Estonia? Cheap life na statement ya visa mbona ndogo hivyo? Just $15,000 kama m20 tu na room $135/week! Hiyo sehem nzuri bana though sijui mzunguko wa cash ukoje.

Huku ni min room ni $200pw ff, bora aje huko ila kwa 7m noo, aongeze ziwe m30 hivii! Ila pia usisahau kubaguliwa watu hawasemi tu but km we ni sensitive na racism utapata shida sana
 
Kwa vile lengo ni ku-explore world kuna nchi kama Vanuatu, Nauru island (aliko mimi49), Fiji, Maldives (southern east asia) au hata Bruney Darusalaam unaeza injoy tu sio lzm ulaya & amerika
 
Mkuu uko Estonia? Cheap life na statement ya visa mbona ndogo hivyo? Just $15,000 kama m20 tu na room $135/week! Hiyo sehem nzuri bana though sijui mzunguko wa cash ukoje.

Huku ni min room ni $200pw ff, bora aje huko ila kwa 7m noo, aongeze ziwe m30 hivii! Ila pia usisahau kubaguliwa watu hawasemi tu but km we ni sensitive na racism utapata shida sana

Binafsi I have been looking for Racism...kwani nilisha experience moja ya wahindi haikunihumiza kwa namna yoyeto though ilikuwa kali ila nilichojifunza Racism is just the way you perceives some actions and words directed toward you.

Am comfortable with racism bro...trust me, I can take it!!
 
Tonga na Fiji, viko mbaali sana hivi visiwa na bila shaka hata nauli yake unaweza nunua fuso hapa Umatumbini.

Msigwa!
 
Mkuu kwa kujipa ufagio na ujiko huko sawa..kwamba solomon kisiwa cha dhahabu.

Haina shaka bhana!! Endelea kufurahia wakati mzuri mkubwa.

Sio kujifaglia mkuu ndio mana panaitwa solomon kwa sababu waliovumbua waliona dhahabu kwa wingi kiasi wakahisi hapo ndio mfalme suleman alijenga hekalu. Thats how the name solomon came!
 
Daaah, 7M kwa mwaka inakupa zaidi ya 80M kwa biashara ipi hiyo!?

Biashara nyingi mno mkuu, tatizo nyie mnawaza uchuuzi tu! Hebu fuga nguruwe, Lima Mpunga, Lima matikiti maji twice a year, kama wewe unapenda uchuuzi hata biashara za uchuuzi zipo zinazoweza kukuzalishia more than 10x in a year, GET OUT OF THE HOUSE AND TAKE A HIKE!
 
Binafsi I have been looking for Racism...kwani nilisha experience moja ya wahindi haikunihumiza kwa namna yoyeto though ilikuwa kali ila nilichojifunza Racism is just the way you perceives some actions and words directed toward you.

Am comfortable with racism bro...trust me, I can take it!!

India tu? Bado haujakutana na ubaguzi kaka.
 
e African;8392266]Nimefurahishwa sana na uwezo wako wa kuelewa maandishi bila mkanganyiko.

Kikubwa zaidi Binadamu anachotafuta katika maisha yake ni Furaha, kuna watu wanafanya kila linalowezekana wapate ng'ombe wengi ili tafsiri ya furaha ikamilike maishani mwao. Kuna watu hawataki fedha wala mali bali wanahitaji wake wengi maishani mwao wawe na furaha. Vivyo hivyo na mimi tafsiri yangu ya mafanikio na kuwa na furaha ni kusafiri mbali na nyumbani na kupata exposure, kusikia sauti ya lugha mpya, kuona sura mpya, n.k huyo ndio mimi.

Mtiifu.


Rejea hii hapa utanielewa namaanisha nini mkuu.[/QUOTE]

Hiyo pesa m7 ni ndogo sn! Utapata tabu bure!

Km lengo lako ni kujifunza na kukutana na watu Wa kimataifa! Jipange na uongeze hiyo pesa angalau ukifikisha m15 ukifika Huko unaweza ukaishi ata miezi miwili huku ukiwa unatafuta kz kwa nguvu! Zaidi ya hapo Utapata shida tu! Nje watu hawana upendo Nje watu hawana ukarimu, Nje watu hawana huruma!

Hiyo pesa ungetafuta wataalam Wa biashara wakakupa ushauri ufanye biashara gani nzuri!
 
Back
Top Bottom