Nikabebe box majuu!!

Nikabebe box majuu!!

Kila mtu na bahati yake,na siku zote unaambiwa ufuate ndoto za moyo wako,huwezi jua bwana,wangap wameenda majuu tena hawana kitu na wakatusua?? Cha msingi ni kuwa mvumilivu tu na kumuomba mungu ,mi nakushauri uende as long unakata ticket ya go n return mambo yakiwa magumu unarud zako ila usipuuze hitaji la moyo wake
 
Hata mm napenda kusafir..ila sio kwa ajil ya kutafuta pesa coz naamin hat apa zipo tu,wenzetu wapo smart sana kichwan wana vitu vya ziada ambavyo wabongo hatuna,interaction itakusaidia kujua mambo mbalimbali na kujuana na watu ambao kwa namna moja au nyingine watakupa benefit on our destiny...a good example is for my dad,he was that rich but alifanya juu chini aka some nje,alifanikiwa miaka hiyo na kwa sasa anajuana na watu wazito sana ambao kwa namna Moja au nyingine wametusaidia sana kwa mambo Fulani,baba akitak kwenda canada,India,Finland, kenya na nchi nyingine baadh kote uko ana marafik aliosoma so imekuwa easy kwa yeye kufanya mishe zake hizo nchi coz ana wenyeji..it helps sometimes ni jinsi ya kupanua ubongo kidog na kujaribu kuwaza kwa kina nini unataka kwenye maisha.kuna wengine wanazeeka hat Kenya hawajafika so wakiona watu wana mipango ya kusafir nje wana wa discourage ili wasifanikiwe..mimi nakupa go ahead
 
Ww unataka kwenda majuu na hao wa majuu wanataka kuja Tz. Kama kwa kusafiri sawa lkn kwa kutafuta maisha bora ubaki nyumbani.
 
Kila mtu na bahati yake,na siku zote unaambiwa ufuate ndoto za moyo wako,huwezi jua bwana,wangap wameenda majuu tena hawana kitu na wakatusua?? Cha msingi ni kuwa mvumilivu tu na kumuomba mungu ,mi nakushauri uende as long unakata ticket ya go n return mambo yakiwa magumu unarud zako ila usipuuze hitaji la moyo wake

Huu ndio ninahita ushauri, kwani mdadavuaji anajaribu hata kutoa dira na mapendekezo ya nini cha kufanya.

Wengine ambao hawana intellectual curiosity wala critical reasoning wanalaumu na kukatisha watu moyo.

I need haters to succesed.
 
Hata mm napenda kusafir..ila sio kwa ajil ya kutafuta pesa coz naamin hat apa zipo tu,wenzetu wapo smart sana kichwan wana vitu vya ziada ambavyo wabongo hatuna,interaction itakusaidia kujua mambo mbalimbali na kujuana na watu ambao kwa namna moja au nyingine watakupa benefit on our destiny...a good example is for my dad,he was that rich but alifanya juu chini aka some nje,alifanikiwa miaka hiyo na kwa sasa anajuana na watu wazito sana ambao kwa namna Moja au nyingine wametusaidia sana kwa mambo Fulani,baba akitak kwenda canada,India,Finland, kenya na nchi nyingine baadh kote uko ana marafik aliosoma so imekuwa easy kwa yeye kufanya mishe zake hizo nchi coz ana wenyeji..it helps sometimes ni jinsi ya kupanua ubongo kidog na kujaribu kuwaza kwa kina nini unataka kwenye maisha.kuna wengine wanazeeka hat Kenya hawajafika so wakiona watu wana mipango ya kusafir nje wana wa discourage ili wasifanikiwe..mimi nakupa go ahead

Your the man dude, kiukweli umeifanya siku yangu ya leo kuwa angavu na yenye matumaini sana. Huwa nawapenda sana na kuwaheshimu watu wenye maono ya kariba yako.

Pia maandishi murua sana haya, muhimu watu wayasome.

Asante.
 
Dsm muh'fo if you can make it in here you can make it anywhere,mtafute Field Marshall ES anaratibu safari za US Le big show.

Hili toto la Malechela siku hizi limejiunga na genge la wauza unga wale wamiliki wa gazeti la Jamba leo. Ushauri utampoteza kijana wa wa watu ataishia kunyongwa China.
 
Hili toto la Malechela siku hizi limejiunga na genge la wauza unga wale wamiliki wa gazeti la Jamba leo. Ushauri utampoteza kijana wa wa watu ataishia kunyongwa China.

Kazi nzuri ndugu matola, jamaa asije nibebesha zigo la ngada nikabembea kwenye kinyongeo cha wachina.

Shukrani matola.
 
Usimdanganye mwenzako, Lukosi atakula hizo milioni saba alafu asimuone tena.

Aha aha aha! Karagabaho ndugu,

kumbuka kwamba "kila shetani na mbuyu wake ndugu" sina tatizo na huyu bwana lukosi.
 
Kaka mimi nipo Nchi moja kati ya ulizozitaja, nimeanza mwaka wa pili sasa,nimekuja kusoma, ajira sio kama unavyodhania,ni ngumu kweli kweli,si rasmi wala zisizo rasmi,hapa naskilizia nimalize shule nirudi faster,kisheria nchi nyingi ili upate uhalali wa kuishi mfano hapa nilipo either uje kwa gia ya kusoma au uwe umeshapata ajira na utoe details za mwajiri wako huku,pia uonyeshe benki statement yenye salio lisilopungua dola 15,000.
Ukija kwa gia ya kusoma ndio unatakiwa uwe na mshiko mrefu zaidi maana certificate tu ya mwaka mmoja itakucost si chini ya dola 10000
Bado hujalipa kodi ya nyumba, hapa napoishi ni bei ya chini dola 135 kwa wiki na ni chumba sio nyumba nzima.
Bado hujala bado hujalipa nauli! Komaa na bongo tengeneza pesa ukienda huko unakotaka uende kutembea na kurudi, kuna wabongo wapo huku zaidi ya miaka 10 hakuna cha maana wamefanya, mafanikio makubwa kununua magari tu ambayo yapo ya bei rahisi.

Kwa tathmini ya haraka haraka haya ndo maisha ya nchi zilizo Bara la Australia. Maisha ni magumu, hali ya hewa hovyo, na bado hakuna future ya maana! Simshauri mtu kwenda nchi hzio. Kwa sasa Ulaya na nchi zilizokuwa tajiri zamani hali imebadilika sana na wao wanalia njaa!

Ndugu unayetaka kujaribu maisha nje ya Tanzania ni heri hiyo hela ukawekeze kwenye kilimo cha Vitunguu Ruaha Mbuyuni itakulipa kuliko kuitapanya kwa ushamba wa kuona wazungu!
 
Nasikitika kwa vile wewe bado hujaelewa vizuri core ya safari yangu ya majuu.

Utanielewa vizuri ukipitia maandishi yangu ya awali. Nasisitiza sijakengeuka wala kukurupuka juu hili bw kaduguda.
 
Halafu uwe unacheza green card lottery mwaka huu sijui inachezwa mwezi wa ngapi, ukishinda hiyo umetoka moja kwa moja.

Bwana matola, una dondoo zozote juu official website ya hawa mabwana wa green card lottery? Kabla sijagoogle?
 
And. African sikulaumu kabisa kusafir na kwenda kwenda kuish mashariki ya mbali, umekua ukiona longolongo za nchi zetu za kiafrica hizi. ukiipata hio nafasi nenda kule wenzetu ukiingia tuu na ukikubalika wakakuingiza kwenye system ww utakua unaishi maisha ya amani, upendo na hela za kujikimu kimaisha zitakuwa zinaingia taratibu
wala asikutishe MTU ulaya ni ulaya na Afrikaans ni afrika
 
Salamu zao, sie tupo tupo sana hapa bongo, ugali bamia, dagaa, matembele aah! alhamudulilahi... majuu nikatafute nini mie!
 
Back
Top Bottom