Nikabebe box majuu!!

Nikabebe box majuu!!

Duu namie nlikuwa na ndoto za kuishi majuu kwa kupitia uzi huu nishaghairi kumbe wabeba box wanateseka sana majuu huko khaaaaa!!
 
Kazi nzuri Richard, dondozi na changanuzi murua sana hizi. Umenipa exposure na kustrengthen ego yangu ndugu.

Kwa mfano Canada na Australia wameanzisha mfumo wa uhamiaji unaolingana unaoitwa EOI yaani "Expression of Interest" immigration system ambapo mtu anaetaka kwenda katika nchi hizo inabidi aingie kwenye tovuti ya mfumo huo na kujaza taarifa zote zinazomhusu na baadae kuangaliwa na waajiri wote wanaotafuta waajiriwa ambao wana sifa maalum au "skills".

Huo mfumo unatoa fursa ya mawasiliano kati ya waajiri na serikali kuhusu muombaji kibali na ni vipi amekuwa anafaa hadi afuzu kupata kibali cha kuishi kwenye hizo nchi moja kwa moja au "Permanent Residence Permit".

Ni mfumo mgumu kwa kuwa kumewekwa alama maalum au "point system" ambazo inabidi muombaji lazima apate alama si chini ya 75 na pia aangaliwe mambo kama afya njema na kwamba hana rekodi ya uhalifu.

Hizi zote ni jitihada za kuzuia na kuchagua nani aingie na mambo haya hayakuwepo miaka 25 ilopita.
 
Nimekufahamu kijana
Dunia huru unaweza kuenda unakotaka lakini ulileta mada hapa nasi tumetowa yale tunayofahamu,
Masuali niliyokuuliza sikuwa na haja ya kujuwa faragha yako, nilikuwa ninakuuliza ili tu nijuwe ninatowa ushauri upi utakaolingana na mahitaji yako.
wengi tuliowahi kusafiri tulitumwa ninasema tulitumwa kwani zamani wazungu walikuja Afrika na kukamata watu na kuwafanya watumwa lakini wazungu kwa ujanja wao tunakwenda wenyewe sasa tena tunapokwenda kuomba visa tunajifanya kuwa tuko fit kwa kazi yoyote na vyeti vya chuo pamoja namuonekano wa kupendeza ,

Safari njema na utakaporudi tunakuomba uje utupe taarifa yote ya safari yako ili na wengine wawe na muelekezo wa kujuwa safari za nje zipo vipi
Ndugu sidhani kama napaswa kukushirikisha mambo mengi yahusuyo faragaha yangu ila kwa taarifa tu mimi ni kijana umri miaka 27.

Lengo kubwa la mimi kutaka kwenda ugahibuni si kwa ajili ya kupata fedha na mali nyingi saaana, hapana!! Nina authentic passion ya kutaka kuishi na jamii yangu tofauti na hapa nyumbani lengo likiwa ni kusikia sauti mpya, lugha mpya, Tamaduni mpya, Imani mpya n.k hii ndio tafsri yangu ya mimi kuwa na furaha ikizingatiwa kila mtu ana tafsri yake linapokuja suala la kuwa na furaha, amani na mafanikio maishani. Mfano kuna baadhi ya makabila hawahitaji kuwa na fedha nyiingi kuwa na furaha na mafanikio maishani bali ng'ombe pekee zinatosha kuwapa furaha na mafanikio.

Sijui umenipata mkuu.
 
Habari gani wangugu?

Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k

Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..

Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.

Karibuni!!
Mkuu Kwa hizo Pesa TZ 7, Millioni ni ndogo sana kwa kuamuwa kuja huku Ughaibuni Kwa Sheria za kuja

Ulaya ili uweze kupata Viza ya kuja huku.Jambo la kwanza uwe na Account ya Bank huko nyumbani hiyo Account yako

ya Bank iwe na Pesa kama ni za

Ki-Tanzania Si chini ya TZ Shs 30 Millioni. Kama ni pesa ya Euro unatakiwa uwe nayo kiasi cha Euro Elfu 15. Kwenye

Account yako ya Bank ndio ufanyiwe mpango wa kuweza kuja huku. Yaani uletewe barua ya mualiko na huyo mtoa baraua ya

mualiko itabidi umlipe pesa anazo taka kama ni Euro au pesa za Dollar. Kwa Ushauri wangu kama unafanya biashara

zinazoweza kukuingizia pesa huko kwa mfano kila mwezi unaweza kupata faida ya TZ Shillingi 1 Millioni ningelikupa

ushauri eidha uishi huko huko uendelee na Biashara yako kuliko kuanza kutafuta Safari za kuja Ulaya kutafuta Maisha.

Maisha ya huku nje ni magumu kama huna Elimu ya kisomo cha kutoka Chuo kikuu huwezi huku kupata kazi kiurahisi sio

rahisi kupata kazi. njia ya huku kufika kama kiurahisi kama wewe bado hujaowa ni kumpata mtu wa huku akakutafutia

mke wa kizungu ukamuowa ndio njia ya kuweza kupata viza na kuja huku kivingine utapoteza fpesa zako na hata

ukifika huku utaanza upya maisha ingawa utaweza kufanikiwa lakini itachukuwa muda mrefu mpaka umpate mdhamini

wa kuweza kukdhamini ukitaka maelezo mengine zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie baruwa ya pepe

Address

yangu hiim hapa fewgoodman@hotmail.com

MziziMkavu njoo umpe muongozo kijana, manake naona watu wamemkatisha tamaa. Milioni 7 asije akaamua kuolea mke kijijini akamleta mjini wajanja wamdoelezee.
Bibie hujambo lakini?
 
attachment.php

Kazi ni kazi bora mkono uingie kinywani kazi bora kuliko kuiba.
 
Habari gani wangugu?

Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k

Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..

Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.

Karibuni!!

Nitumie hizo hela nifanye mpango uje...
 
MziziMkavu njoo umpe muongozo kijana, manake naona watu wamemkatisha tamaa. Milioni 7 asije akaamua kuolea mke kijijini akamleta mjini wajanja wamdoelezee.

Aha aha aha!! Ehee! Makubwa haya tena!! Naanzaje kuoa tena jamani ilhali nina safari king'asti?
 
Last edited by a moderator:
Nitumie hizo hela nifanye mpango uje...

Style uliyotumia kuiomba hela ni typicaly ya kitapeli bw tuko...umenipa mashaka kidogo, njoo tena na convincing words tafadhali
 
Mdogo wangu hakuna dili kwenye nchi za watu hizi... dharau na fedheha tu zimewajaa. Kama umeweza kuzungusha hapo bongo ukapata m 7 yako hiyo mi nakushauri komaa hapo hapo maisha yapo. Nyumbani ni nyumbani. ..
 
Jamani wengi wenu hamjamwelewa mleta mada. Yeye amesema na ameweka wazi kuwa anataka overseas exposure particularly kwenye hizo nchi alizozitaja. Kuanza kumkejeli sio jambo la busara. Msaidieni kimawazo afanye nini ili atimize lengo lake. Hajasema anataka biashara sasa nashangaa kwa nini wengine muanze kumwambia eti hizo 7m. alizokuwa nazo kwa nini asitumie kama mtaji wa kuanzisha biashara. Mnajuaje akifanikiwa kupata hiyo exposure anayoitaka may be itamsaidia kwa mambo mengi including hizo biashara mnazomshauri afanye upon his return to bongo?
 
nakukubali sana mkuu kwa ushauri mzuri
Mkuu Kwa hizo Pesa TZ 7, Millioni ni ndogo sana kwa kuamuwa kuja huku Ughaibuni Kwa Sheria za kuja

Ulaya ili uweze kupata Viza ya kuja huku.Jambo la kwanza uwe na Account ya Bank huko nyumbani hiyo Account yako

ya Bank iwe na Pesa kama ni za

Ki-Tanzania Si chini ya TZ Shs 30 Millioni. Kama ni pesa ya Euro unatakiwa uwe nayo kiasi cha Euro Elfu 15. Kwenye

Account yako ya Bank ndio ufanyiwe mpango wa kuweza kuja huku. Yaani uletewe barua ya mualiko na huyo mtoa baraua ya

mualiko itabidi umlipe pesa anazo taka kama ni Euro au pesa za Dollar. Kwa Ushauri wangu kama unafanya biashara

zinazoweza kukuingizia pesa huko kwa mfano kila mwezi unaweza kupata faida ya TZ Shillingi 1 Millioni ningelikupa

ushauri eidha uishi huko huko uendelee na Biashara yako kuliko kuanza kutafuta Safari za kuja Ulaya kutafuta Maisha.

Maisha ya huku nje ni magumu kama huna Elimu ya kisomo cha kutoka Chuo kikuu huwezi huku kupata kazi kiurahisi sio

rahisi kupata kazi. njia ya huku kufika kama kiurahisi kama wewe bado hujaowa ni kumpata mtu wa huku akakutafutia

mke wa kizungu ukamuowa ndio njia ya kuweza kupata viza na kuja huku kivingine utapoteza fpesa zako na hata

ukifika huku utaanza upya maisha ingawa utaweza kufanikiwa lakini itachukuwa muda mrefu mpaka umpate mdhamini

wa kuweza kukdhamini ukitaka maelezo mengine zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie baruwa ya pepe

Address

yangu hiim hapa fewgoodman@hotmail.com

Bibie hujambo lakini?
 
Graduate ana millioni saba anataka kwenda kubeba boksi Mashariki ya mbali (halafu hajui hata mashariki ya mbali ni wapi), TUNAHITAJI KUANGALIA UPYA MFUMO MZIMA WA ELIMU NA WOTE TULIOWAPA DHAMANA! Hiyo 7M hapa bongo ukifanya kweli utakuwa na zaidi ya 80M ndani ya mwaka mmoja tu! Kama unaenda matembezi hiyo pesa yako ndani ya wiki unarudi bila kitu mfukoni! CHAGUO NI LAKO.

Daaah, 7M kwa mwaka inakupa zaidi ya 80M kwa biashara ipi hiyo!?
 
Habari gani wangugu?

Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k

Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..

Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.

Karibuni!!
USA ni nchi nzuri na Ina opportunity haswaaa ukitulia na kuacha ndoto za utajiri wa harakaharaka.Usa ni no 1 Duniani kwa uchumi na opportunity sasa ukijifanya unataka kuishi Kama wamarekani WENYEWE haya .Fanya Kazi save your money .USA Gari ni necessity sio luxury Kama bongo .Gari Nunua cash na chukua kistudio.save more than spending .Huna haja ya cable ya channel 2000 basic cable inatosha utaishi maisha ya raha.Hang around positive constructive people they will lift you up ,uswahili negativity na umbea vitakurudisha nyumba .Tafuta girlfriend or boyfriend mwenye uwezi asiye kuchuna na kukuongezea bill.WEAR CONDOM mambo ya kuzaa bila mpango child support itakumaliza.MARRY A RICH PARTNER kimbia watu maskini .Mara nyingi mijitu maskini Ina roho mbaya .Good luck
 
Jamani wengi wenu hamjamwelewa mleta mada. Yeye amesema na ameweka wazi kuwa anataka overseas exposure particularly kwenye hizo nchi alizozitaja. Kuanza kumkejeli sio jambo la busara. Msaidieni kimawazo afanye nini ili atimize lengo lake. Hajasema anataka biashara sasa nashangaa kwa nini wengine muanze kumwambia eti hizo 7m. alizokuwa nazo kwa nini asitumie kama mtaji wa kuanzisha biashara. Mnajuaje akifanikiwa kupata hiyo exposure anayoitaka may be itamsaidia kwa mambo mengi including hizo biashara mnazomshauri afanye upon his return to bongo?

Mwambie awe mwangalifu na SHERRIF ARPAIO hahahahha
 
USA ni nchi nzuri na Ina opportunity haswaaa ukitulia na kuacha ndoto za utajiri wa harakaharaka.Usa ni no 1 Duniani kwa uchumi na opportunity sasa ukijifanya unataka kuishi Kama wamarekani WENYEWE haya .Fanya Kazi save your money .USA Gari ni necessity sio luxury Kama bongo .Gari Nunua cash na chukua kistudio.save more than spending .Huna haja ya cable ya channel 2000 basic cable inatosha utaishi maisha ya raha.Hang around positive constructive people they will lift you up ,uswahili negativity na umbea vitakurudisha nyumba .Tafuta girlfriend or boyfriend mwenye uwezi asiye kuchuna na kukuongezea bill.WEAR CONDOM mambo ya kuzaa bila mpango child support itakumaliza.MARRY A RICH PARTNER kimbia watu maskini .Mara nyingi mijitu maskini Ina roho mbaya .Good luck

Natalia sio siri nimekupenda buure!!

Umetoa na kushauri kile ambacho nimekiuliza bila kumun'gunya maneno kwa ustadi na umakini wa hali ya juu juu ya maisha na mafanikio ya US.

Ningekua nakufahamu, I would have buy you a dinner!! Am serious mates.

U nailes it folk.
 
Back
Top Bottom