Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Daaah, 7M kwa mwaka inakupa zaidi ya 80M kwa biashara ipi hiyo!?
Kilimo cha mpunga!
Daaah, 7M kwa mwaka inakupa zaidi ya 80M kwa biashara ipi hiyo!?
Habari gani wangugu?
Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k
Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..
Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.
Karibuni!!
America (usa) unaweza pata kazi ya kulea wazee kwenye center zao
Kazi si shabaha yangu kihivyo, Safari ndio kipaumbele mengineyo yatajisets huko huko mbele.
ukipata muda ingia you tube andika suprising europe utaona video nyingi zinazoelezea habari na maisha ya huko na masaibu yanayowapata wa africa then utapata majibu ya unachotaka kufanya
NJOO UJE UBEBE MABOX KAMA HIVYO TUNAVYO BEBA SISI .............Habari gani wangugu?
Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k
Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..
Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.
Karibuni!!
NJOO UJE UBEBE MABOX KAMA HIVYO TUNAVYO BEBA SISI .............
![]()
![]()
Hizi clips niliziona mwaka 2012 pale CNN, sio siri zinatisha na zinafundisha na ni guidance nzuri sana juu ya maisha na changamoto za majuu.
Narudia dhumuni langu ni kusafiri na kupata exposure na kuchange mentality sambamba na kustrenght ego yangu juu ya mtazamo wa maisha na mwingiliano wa jamii kwa ujumla nazungumzia zile cultural shock n.k
NI hivyo tu.
Rejea hii hapa utanielewa namaanisha nini mkuu.
Sio tu kubeba mabox kazi zipo nyingi na ngumu kuzifanya unatakiwa uwe na afya sio lele mama huku majuu kazi kwako.Te te teeeee mkuu hilo sio box bana mpk una PPE aaah
Kazi kubwa mkuu kupata hiyo pesa mpaka jasho likutoke..............tunapindwa ile mbaya huku............
Woga wake ndio umaskini wakeTatizo heading yako imesema 'majuu kupiga box'
We komaa tu achana na waoga oga mbona wahindi hawaogopi? Wako kila sehem na bado wanaenda pa1 na changamoto za kukosa job. We komaa kapige box liwalo na liwe tu, kwani nini bana
Woga wake ndio umaskini wake
Chuma ulete hasara si ajabuLakini kumbuka wasiwasi ndio akili.
Nakumbuka Miaka ya tisini mwishoni Nilikua na shauku kubwa sn ya kwenda majuu kwa namna yeyote ile ata Km kwa kutafuta mabinti wanioewe then wanipe maisha!
Kweli niliwapata sn Hao mabinti wakati huo walikua Wa kumwaga kule Znz, Yani walikua wakija pale ofisini kwangu walikua wanadata. Maana Wao hupenda watu warefu walio wakakamavu na wenye misuli kidogo!
Nilikua nao sn lkn ni watu wenye akili sn ambao wanachukua tahadhari mapema kabla ya kuchukua maamuzi makubwa Km ya kuoana etc. Na Mara nyingi ni wawazi Yani wanajua kabisa huenda kua na yeye ni kutafuta kufanikiwa ki maisha. Na wakati mwingine wanapenda tu kuwatumia vijana na kujaribu Radha mbalimbali na hiyo ndio sababu ya baadhi Yao kusafiri Kuja huku!
Miaka hiyo kidogo kwenda Nje ilikua rahisi tofauti na Miaka hii ya hivi karibuni. Sasaivi kumekua na sheria nyingi alafu ngumu na masharti magumu. Kwa mfano ata kwenda kusoma sasaivi ni kuna sheria nyingi na masharti magumu kuyakamilisha na inabidi mzazi awe na pesa account nyingi na awape mchanganuo Wa kipato chake kwa mwezi na Mwaka cha shughuli zake. Kwahiyo utakuja kukuta kwa mtu Wa kipato cha chini hawezi kabisa kukidhi hayo masharti! Ni nafuu kwa mataifa Km ya Bara la Asia kwenda na si ulaya au America.
Hawa watu Wa ulaya na America wanaitaji NAFAKA na si MAKAPI, uwe na elimu kubwa na mtaalamu, Km huna elimu kubwa na si mtaalamu basi uwe Na fedha refuuuuu ndio utaweza kuingia hayo mataifa,