Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
- Thread starter
- #61
Naweka kumbukumbu
Kila la kheri na kumbukumbu zako mkuu.
Naweka kumbukumbu
Ulirudi bongo mara ya mwisho lini?.USA Gari ni necessity sio luxury Kama bongo .
Mtu anaposema "kubeba box" huwa anamaanisha nini? Naomba maelezo jamani kwani huwa sielewi huu usemi.
Habari gani wangugu?
Mimi ni kijana ambae nimehitimu shahada hivi punde, miongoni mwa vitu ninavyopenda saana ni kusafiri na kuishi mashariki ya mbali kabisa tofauti na nyumbani nikakutane na watu wapya, sauti mpya, tamaduni mpya, Lugha mpya n.k
Nimefanya shughuli zangu kwa jitihada na juhudi kubwa na hadi sasa nina kiasi cha tsh mil 7/= ningependa kufika New zealand, Canada, Australia, Finland, US..
Hivyo kwa waliotayari kutoa mualiko au msaada wa kufika majuu karibuni, Na wale washauri pia karibuni, na wale haters nawahitaji sana kwa changamoto.
Karibuni!!
mimi nakushauri safiri duniani popote kadiri uwezavyo.mtu aliesafiri sio sawa na mtu ambae hajasafiri.
Njoo huku tuoshe vyoo mkuu we ntumie hiyo 7m nikufanyie mishe, ila unakuja kama asylum seeker!
Acha woga, we ni-pm
Ushauri mzuri sana mkuu,Mkuu Kwa hizo Pesa TZ 7, Millioni ni ndogo sana kwa kuamuwa kuja huku Ughaibuni Kwa Sheria za kuja
Ulaya ili uweze kupata Viza ya kuja huku.Jambo la kwanza uwe na Account ya Bank huko nyumbani hiyo Account yako
ya Bank iwe na Pesa kama ni za
Ki-Tanzania Si chini ya TZ Shs 30 Millioni. Kama ni pesa ya Euro unatakiwa uwe nayo kiasi cha Euro Elfu 15. Kwenye
Account yako ya Bank ndio ufanyiwe mpango wa kuweza kuja huku. Yaani uletewe barua ya mualiko na huyo mtoa baraua ya
mualiko itabidi umlipe pesa anazo taka kama ni Euro au pesa za Dollar. Kwa Ushauri wangu kama unafanya biashara
zinazoweza kukuingizia pesa huko kwa mfano kila mwezi unaweza kupata faida ya TZ Shillingi 1 Millioni ningelikupa
ushauri eidha uishi huko huko uendelee na Biashara yako kuliko kuanza kutafuta Safari za kuja Ulaya kutafuta Maisha.
Maisha ya huku nje ni magumu kama huna Elimu ya kisomo cha kutoka Chuo kikuu huwezi huku kupata kazi kiurahisi sio
rahisi kupata kazi. njia ya huku kufika kama kiurahisi kama wewe bado hujaowa ni kumpata mtu wa huku akakutafutia
mke wa kizungu ukamuowa ndio njia ya kuweza kupata viza na kuja huku kivingine utapoteza fpesa zako na hata
ukifika huku utaanza upya maisha ingawa utaweza kufanikiwa lakini itachukuwa muda mrefu mpaka umpate mdhamini
wa kuweza kukdhamini ukitaka maelezo mengine zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie baruwa ya pepe
Address
yangu hiim hapa fewgoodman@hotmail.com
Bibie hujambo lakini?
Mkuu mimi nawakaribisha sana kwenye boksi vijana![]()
Kazi ni kazi bora mkono uingie kinywani kazi bora kuliko kuiba.
Mwambie awe mwangalifu na SHERRIF ARPAIO hahahahha
Ushauri mzuri sana mkuu,
Zamani ilikuwa rajisi sana kupata masiha majuu lakini sio siku hizi hasa baada ya kuanzishwa umoja wa nchi za ulaya sababu zile kazi sasa zinafanywa na vishoka
Ushauri mzuri sana mkuu,
Zamani ilikuwa rajisi sana kupata masiha majuu lakini sio siku hizi hasa baada ya kuanzishwa umoja wa nchi za ulaya sababu zile kazi sasa zinafanywa na vishoka
Mkuu mimi nawakaribisha sana kwenye boksi vijana
Mkuu kama una kisomo/ujuzi wenye sifa unaweza omba working visa na kuja kufanya kazi kwa taaluma yakoNinakuelewa kaka lukosi,
Nafahamu kwa sasa Waromania, Wabulgaria wamesheheni hapo UK wakiosha vyombo, safisha vyoo, na shughuli zote zisizohitaji utalaamu.
Ila dhumuni langu kubwa la kusafiri ni kukutana na sura mpya, lugha mpya, imani mpya, matusi mapya, na kujifunza kitu tofauti na sio kutafuta fedha kwa namna yoyote.
Mimi nina nyumba ndogo tu ya kawaida sana ya kunitosha, hivyo sihitaji kutafuta pesa kiihivyo ikizingatiwa vitu vingi murua na vyenye kuleta furaha hupatikana buuure kama hugs, smiles, friends, kisses, family, sleeps, love, laughter, good memory e.t.c
Ninachohitaji ni kusafiri na kusafiri nijifunze mengi na kuyatazama maisha katika perspective hasi zaidi.
Shukrani.m
Shu
Mkuu kama una kisomo/ujuzi wenye sifa unaweza omba working visa na kuja kufanya kazi kwa taaluma yako
Soma hii link tafadhali
UK Border Agency | Working in the UK
Mkuu kama una kisomo/ujuzi wenye sifa unaweza omba working visa na kuja kufanya kazi kwa taaluma yako
Soma hii link tafadhali
UK Border Agency | Working in the UK
Mkuu ukifanikiwa kupata Visa karibu sana serengeti.Pia nitafurahi kama nitapata ofa ya kuja kupiga boksi hapo Serengeti freight and fowarders kama volunteer kwa siku kadhaa gharama za usafiri juu yangu.
Mtu anaposema "kubeba box" huwa anamaanisha nini? Naomba maelezo jamani kwani huwa sielewi huu usemi.