Nijulishe wakala au duka linalouza simu original za Iphone na Samsung katika jiji la Dar es Salaam

Nenda ZEINDOISKI pale Kariakoo au CHADO COM Round About kwa simu Original za Samsung
 
Mkuu
IPhone Nenda Mlimani City Wana Duka Lao
Hata Samsung Pia Ila Ukiwa Kariakoo Pia Posta Maduka Yapo Muhimu Kama Sumsung Utakapo Nunua Hapo Hapo Ufanyiwe Usajiri Wa Online Huwa Unapopokea Ujumbe Unaambiwa Ikiwa Product Ni Original
 
Asante kwa kunijuza
 
Back
Top Bottom