best budget smartphone ever....Chukua Samsung A54...
Utakuja kunishukuru..
Kabisa..best budget smartphone ever....
na pixel 6A
achague hapo
Kwa bei gani?Chukua Samsung A54...
Utakuja kunishukuru..
Inategemea size ya betri yake tuSamsung hazikai na chaji.... labda uwe unatembea na chaja.Anyway ngoja wadau waje.
850K unapataKwa bei gani hii A54
Kwa vile hujataja bajet yako basi S23 ultra nunua hiyo ni SamsungHabari za jioni,
Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone(kwenye iPhone iishie 11pro).
Ila ningependa zaidi iwe Samsung iwe nzuri idara zote
Samsung hazikai na chaji.... labda uwe unatembea na chaja.Anyway ngoja wadau waje.
Isinge weka limit ya kampuni ningekutajia Huawei p30 pro simu moja kali sana zaidi ya maelezo mwanzo nilikuwa na samsung s10 plain 512gb ila hii ni yamoto zaidiHabari za jioni,
Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone(kwenye iPhone iishie 11pro).
Ila ningependa zaidi iwe Samsung iwe nzuri idara zote