Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Freemason ina misingi imara,kwanza anza na free then mason,kwenye dark age ambayo bado weng naona mnaish,kanisa lilikuwa mungu(timamu wameelewa),yaan kanisa linaweza kutoa amri ya mrtu auawe kwasababu ana mawazo fotaut,haya mawazo tofaut hasa yalikuwa yanatoka kwa wasomo wenye akili nyingi,yaani bila freemason leo hata ndege,tv,magari labda yangekuwepo maana kanisa lilikuwa linaruhusu ugunduz ambao wanataka wao,kwahiyo kama wasingetaka magar leo tusingekuwa nayo,asante freemason
 
Nice comments,kuna watu wakisikia neno Freemason wanajua basi ni maovu,vifo,shetani,bila kuwa na reference kwa madai yao.Lakini hawakumbuki nn ambacho kanisa hasa catholic limefanya miaka mingi iliyopita.
Hawakumbuki mauaji ya kanisa Catholic karne zilizopita.Hawakumbuki kwamba ugunduz wote Tulionao sasa na Sayansi hii tulonayo yote ni kutokana na watu ambao ni Free minded!,Nikawauliza wanambie mchango wa Kanisa ama dini kwa ujumla katika maendeleo ya Dunia ama nn ambacho kanisa limechangia wakati wowote ,hawakujibu.
 
This is what you make:
1. AK 47
2. Mine Bombs
3. Missiles
4. Killer Tanks
5. Chemical Bombs
6. Nuclear Bombs
7. Atomic Bombs
8. Grenades and Grenades launchers
9. Heavy mortars and rocket launchers
10. War ships
11. ...........................etc

I don't see anything good in that list. All you guys knows is to create war, death, and chaos.
 
Yes we make the above mentioned,but what about Religious wars around the Globle?.Have you forgotten about Killing of the First Boy born,killing of the Philippines,Killing of Innocent who rejected to worship or who were against the Religious interests ?.
 
Mkuu,

Mi sielewi but kuna post zangu naona zimeondolewa.
Ama nimezipoteza?

All in all Mungu yupo, hebu nijibu swali hili, hivi kwa nn tunakufa? Who set that formula? Hivi kifo kisingekuwepo dunia leo ingekuwa vipi? Wewe ungekuwa vipi? Vipi Jf? Tungekuwa tuna jadili nn?

Hivi ww unajiyliza kweli? Ukipishana na kuchaa huwa unafanya nn? Ushajiulizavingekuwa vip kama wewe ndie huyo kichaa? Tizama mwenywe vile unautumia ufahamu wako vibaya hata uba hoji uhalali wa aliekupa huo Ufahamu? Hivi unadhani gharama za elimu ilizogharamiwa na wazazi wako wangejaliwa wazazi wangu ingekuwa wapu sasa?

Unaohoji nn wakat hata hujui na hujawahi ku resist kifo????? Ikiwa hata hujui lini utakufa???? Hivi unahakika ya kuamka asubuhi ww?

Usitake watu waseme sana. Tumia vyema ufahamu wako.
 
Free ideas,

Mkuu,

Kuna ile habari ya Nimrod kumuoa yule malaya aliekuwa anajiyza kule uru wa kladayo anaitwa semirrema kama sijakosea. Ni kisa kirefu kibatufikisha kuzaliwa mtot Natam ambaye na yy ana mambo yke, inahusishwa na chritmss treez yaan kdg inanichanyanya... Nidaidie kama unanielewa
 
Habar za Nimrod zipo nyingi kila moja kwa Namna yake.Sija-base sana huko
 
Yes we make the above mentioned,but what about Religious wars around the Globle?.Have you forgotten about Killing of the First Boy born,killing of the Philippines,Killing of Innocent who rejected to worship or who were against the Religious interests ?.

Do you NOW believe in the Bible?
 
Do you NOW believe in the Bible?

Mkuu umeelewa jibu langu hapo jua ama hapana?.Nimekujibu kwa kijrumani kirahisi kabisa nadhan utakuwa umeelewa maana uliwahi nambia kwamba unajua pia kijerumani.
 
We umeona AK 47 na zinginezo zenye kuleta maafa tu,mbona vitu kama ndege, magari na madawa hospital na vingine vingi vyenye faida umekaa kimya?

What is faida? Wewe unaita NDEGE Faida? Ndege imepoteza watu kibao wewe unaita faida?

SHOW ME WHERE IS Malaysians flight 370?

Mwenzako aliye kupa "thanks" kesha ikibia mada yake baada ya kushindwa nionyesha wapi ilipi ndege na watu zaidi ya 200. Sasa tumia sayansi yako na nionyeshe wapi ilipo ndege ya Malaysia flight 370.

I don't have time with "free idea's" mumbo jumbos.
 
Ok nimekuelewa shekh......endelea kutumia ngamia.
 
Kupoteza watu 200+ sio sababu ya kusema Sayansi haina faida,jiulize wangapi wanasafiri salama jwa usafiri huohuo kila siku?.Ulitaka tuendelee kutumia ngamia?.Ungeenda vipi kuhiji Mecca ama Vatican.?.Ngamia ingepitaje baharin?.Haya ni mawazo mgando kabisa,et kuona hasara moja na kusahau faida 100.

Unesahau hata zile mike pale Vatcan na Mecca ni kazi ya sayansi ?.Shekhe wenuama padri angewezaje kuhutubia watu wote?.Hujui hata AC zile miskitini na makanisan kwenu ni kaz ya sayansi.

Kuhusu Malaysia plane bora sayansi inaweza kusema may be imepotelea anga za juu,ama imezama chini kabisa katika kina kirefu.Lakini hata siku moja nakuahidi,mungu wako hawezi kutoa jibu kamwe,Kwa maana hayupo na kisicho kuwepo hakipo.
 
Ok nimekuelewa shekh......endelea kutumia ngamia.
You have to look to the good and bad side ya kila kitu na sio kuropoka tu. Kwani shule wakati wa research huwa tunafanya nini? Research haiwezi kuwa na good side bila ya kuelezea negative impact ya whatever tech unayo itengeneza na au fanya.
 
Mkuu,

Kuna ile habari ya Nimrod kumuoa yule malaya aliekuwa anajiyza kule uru wa kladayo anaitwa semirrema kama sijakosea. Ni kisa kirefu kibatufikisha kuzaliwa mtot Natam ambaye na yy ana mambo yke, inahusishwa na chritmss treez yaan kdg inanichanyanya... Nidaidie kama unanielewa

Kutokana na vyanzo mbali mbali vya habari inasemekana kuwa Semiramis alikuwa mama yake Nimrod na baadae walikuja kuishi kama mke na mume

Nimrod alikuwa ni mfalme wa Babeli na ufalme wake ulikuwa na utamnaduni tofauti na falme zingine,yeye ndie aliyeamua kujenga mnara mrefu sana ambao ulikuwa na malengo mawili

1;Kuzuia watu wa ufalme wake kufa na mafuriko au gharika kama itakuja kutokea tena
2;Kwenda kumfuata Mungu na kumhoji sababu ya kuleta gharika na kuuwa watu

Nimrodi alianzisha imani ya kuabudu sayari na nyota,umani hiyo ilikuwa sana wakati huo na ikafikia hadi kuwa kama imani ya ulimwengu kwa wakati huo

Babu yake Nimrod ambae ni mtoto wa Nuhu aliyeitwa Shem alikuja kumkamata na kumuua Nimrod na kuukatakata mwili wake vipande vipande na kuvisambaza maeneo yote ambayo kulikuwa na imani aliyoianzisha Nimrod na Shem aliagiza kuwa kama kutakuwa na mtu mwingine aliyekuwa anaifuata imani hiyo nae atafanywa kama Nimrod

Muda ulipita na Shem alikuja kufariki Dunia,baada ya kufariki Dunia mke wa Nimrod au mama yake kwa upande mwingine alikusanya mabaki ya mwili wa mumewe au mwanae ili akayazike upya,alifanikiwa kupata mwili wake wote lakini alishindwa kupata mabaki ya kiungo cha uzazi cha mumewe au mwanae

Baada ya kukikosa aliwaambia wafuasi wa imani hiyo kuwa Nimrod alkuwa amekwenda kwenye jua na ndiko alikokuwa anaishi na amekwenda na kiungo chake cha uzazi na alikuwa ametoa maagizo kuwa kuanzia wakati huo hicho kiungo kitakuwa ni alama ya imani yao,haikufahamika hasa mawazo hayo aliyatoa wapi lakini ndivyo alivyowaambia wafuasi wa Nimrod na kuanzia wakati huo kiungo hicho kikawa ni alama kubwa sana ya imani hiyo

Baadae walikuja kui design alama hiyo na kuwa na muonekano tofauti ili unsiweze kuonekana kiurahisi na kugunduliwa na watu

Leo kiungo au alama hiyo inaitwa Obelisk,unaweza kuona picha yake hapa chini

WashingtonDC_Obelisk.jpg

Hiyo ni obelisk iliyoko Washington

Baadae mabaki ya mwili wa Nimrod ulizikwa kwa taratibu zote za kiimani na baada ya muda kupita uliota mti kwenye kaburi la Nimrod na mama yake au mkewe alisema kuwa hiyo ilikuwa ni ishara ya Nimrod kuzaliwa upya na mama yake au mkewe aliagiza kuanzia siku hiyo mti huo utakuwa ni alama ya kuzaliwa upya Nimrod

Lakini pia mkewe aliagiza kuwa Nimrod amekuwa mungu na kuanzia wakati huo alitakiwa aabudiwe na ndivyo ilivyokuwa na alipewa jina na Baal,hivyo mti huo ambao umekuja kujulikana kama "christmass tree" leo hii ndio inasemekana uliota kwenye kaburi la Nimrod na ni ishara ya kuzaliwa upya

Decorating-Christmas-Trees-1.jpg

Mti wa Christmass

Semiramis alipotoa hayo maagizo alipotea kwa muda na kurudi akiwa mjamzito,alipoulizwa alikokuwa alisema kuwa alikuwa amemfuata mwanae au mumewe na ujauzito aliokuwa nao alikuwa amepewa na mumewe na alikuwa anakuja kumzaa mtoto ambae atakuwa mwokozi wa kizazi kile kutoka kwa watu waliokuwa wanawanyanyasa lakini zaidi atakuja kuwaokoa na wanyama wakali waliokuwa wanatishia uhai wa jamii ile ya Babeli

Kweli baada ya muda Semiramis alijifungua mtoto aliyepewa jina Tamuz na alipokua alikuja kuwa na tabia kama ya "baba" yake kwa kuwa muwindaji bora

Mtoto huyu alikuja kupata ajali mbaya iliyokuja kuyaondoa maisha yake pale alipokuja kujeruhiwa vibaya na nguruwe pori na kusababishiwa majeraha ambayo hakupona na alikuja kufariki,ile siku ambayo aliuwawa na nguruwe pori iliamriwa kutokuliwa nyama na ilisemwa kuwa nyama ya nguruwe pori na nguruwe yoyote yule kuwa haifai baada ya mnyama huyo kumuua aliyetarajiwa kuja kuwa kiongozi wa watu wa Babeli

Muda ulipita na Semiramis alikuja kuwaambia kuwa mwanae hakuwa amekufa bali alikuwa amemfuata baba yake huko alikokuwa na akawaambia wafuasi wake kuwa tangu siku hiyo atahesabika kuwa ni mtoto wa mungu wao na atakuwa akiabudiwa,aliagiza ia kuwa alama itakayokuwa inamuwakilisha mungu wao ambao ni Nimrod itakuwa ni jua

Baadae aliwaagiza kuwa alikuwa ameagizwa kumfuata mumewe siku sio nyingi na aliagiza kuwa atakapomfuata alama yake itakuwa ni mwezi,ulipita muda na alikuja kufariki na kuanzia hapo alikuwa akiabudiwa

Na hapo dipo ilipopatikana imani ya kopagani yenye utatu wa Nimrod,Semiramis na Tamuz,utatu huu ulikuwa una majina tofauti tofauti kila imani hiyo ilipokuwa inakwenda na kuota mizizi,mfano Misri walikuwa wanafahamika kama Isis,Horus na Osiris

Hiyo ndio historia fupi ya Nimrod na imani yake pamoja na Babeli

Historia hiyo ndio inaaminika kuwa ya kweli japokuwa kumekuwepo na historia zingine tfauti na hiyo,ili uweze kupata ukweli ni bora ukatafiti mwenyewe ili uujue ukweli

CC: juve2002 Mkuu wa chuo Ntuzu Sangarara charminglady Kaunga Ablessed Kongosho King'ast Mtambuzi Ishmael MTAZAMO RGforever .......
 
Last edited by a moderator:
Free ideas,
Sayansi imeshindwa kutuonyesha wapi walipo hao 200 Plus, Inaonekana umeshindwa hata kusoma post zangu vizuri na kuzielewa. The failure of science to locate the plane is inescapable.

When there is a negative impact in the technology, it is not something to close your eyes and assume the plane never disappear in the thin air. Science needs to resolve that issue. Hii si mara ya kwanza, imetokea mara nyingi sana pale eastern of Miami, Florida "Bamuda Triangle". You know that. Your little god, science, should be addressing those issues of missing planes.

Impugning while simultaneously saying bunch of malarkey doesn't help a thing. Solve those issues that are currently encumbering your deity s.k.a science.

Show me, where is Flight 370 from Malaysia.
 
Back
Top Bottom