pia soma comment yake alotuma ka 35dk then utagundua zaidi anadai anaweza kulipa kwa mwezi watu 200 ambao atawarudishia 5000@ so ka ingekuwa hivyo sidhani hata ka angekuwa analialia hapa kihivyo, nadhani anajitafutia yake hapa na najua atapata, hawezi tudanganya kwa hesabu zake za kitoto hivyo eti kwa mwezi alipe watu 200 ambayo ni sawa na 1million anazipata wapi wakati hanahata kazi hana assetNinachohisi kuna mahali tunadanganywa ni kuwa, inakuwaje akopeshwe zaidi ya milioni kumi ilihali anasema mali anazomiliki ni fridge na godoro tu? Aliweka dhamana gani?
Hahahaha nimelazimika kuishia katikatiEasy as that?wana jf 25 watoe kila mmoja mil 1 sio?
Unaota boss.
Dhamana ya kaziNinachohisi kuna mahali tunadanganywa ni kuwa, inakuwaje akopeshwe zaidi ya milioni kumi ilihali anasema mali anazomiliki ni fridge na godoro tu? Aliweka dhamana gani?
unafanya kazi? unalipwa mshahara kiasi gani kwa mwezi, Take home namaanishaMimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi
unafanya kazi gani na unapokea mshahara kiasi gani Take home nalenga?Mimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi
bank gain inakudai?Sina utapeli jamani nihurumieni mwenzenu wananidhalilisha sana hii bank sina msaada
Asisahau kutuma na ya kutolea kabisa@dadamkiwa wakikuchangia hiyo 25m mie nirushie buku 2 tu ya supu.
Wataalamu hivi ni kweli bank wanaweza kukuwekea pesa kimakosa??? Milion 25, , itakuwa ni bank ya vipofu
Nimeipenda hii style yako mpya ya utongozajisina namba yako ya simu mpendwa...uwe mwaminifu kulipa tu lakini.
mdada pole ila ni bank gani inakudai ipo wapi, ulikopa hela kwaajili ya nini? unataka upate pesa kutoka kwetu au unataka tukusaidie mawazo ya namna ya kujikwamua katika tatizo hilo? jaribu kupembua maswali yangu machache then urudi kwetu mie nipo tayari kukusaidia endapo tuu nitajiridhishaNilikua nachukua top up bank fulani pesa zikaingia kama ule mkopo wa mwanzo almost 12m. Nikakumbuka mkataba niliosaini kabla ya hizo pesa kuingia ulikua unasoma the same amount ambayo iliingia kwenye akaunti yangu. So nikajiridhisha that was my top up loan. Nikawa nadraw kidogo kidogo kama kawaida tu bila shida. After a month the bank called me and asked why I took the money I was not supposed to. By that time I had already put the money into a business ya kukopeshana. Watu wamenidhulumu hela nikajikuta sina nilichokifanya zaidi ya kupoteza hela. Today is almost four months toka wanitafute hiyo bank na huwa nadepost at least kila mwezi laki tatu kutoka kwa wateja baadhi kuwa waaminifu. Sasa wateja waaminifu wamemaliza madeni yao na mimi sina pa kupata hela zaidi ya mshahra wangu wa laki2 sina mali yoyote wala biashara tena benk wananizalilisha kila sehemu nashindwa hata kutoka nje..watu wananicheka kila wakiniona natamani tu Mungu anichukue hata SAA hii..nadhalilika mno nisaidieni jaman