Hivi wanakula samaki na dagaa?

Hivi wanakula samaki na dagaa?

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
1,639
Reaction score
2,916
Wakuu....
The LORD is good!¡

Kwa warle vegetarian wanaruhusiwa kurrrla samaki na dagaa, na vipi kuhusu senene....

Vegetarian kama mmo humu nipene mwongozo mimi little boy nifanye decission wakuu...
Thanks!
 
Wakuu....
The LORD is good!¡

Kwa warle vegetarian wanaruhusiwa kurrrla samaki na dagaa, na vipi kuhusu senene....

Vegetarian kama mmo humu nipene mwongozo mimi little boy nifanye decission wakuu...
Thanks!
Unataka uwe vegetarian?
 
Hawali,
Vegetarian hali kiumbe chochote chenye uhai wa nyama
Kuna vegetarian kwa sababu ya maamuzi (uamuzi binafsi)
na kuna vegetarian kwa sababu ya changamoto za kiafya (Alergy)
na kuna vegetarian kwa sababu ya kiimani (dini ya wasio kula Nyama)

Inategemea uko katika kundi gani
Kama ni lile la maamuzi; wengi hawali red meat (nyama nyekundu) ila nyama nyingine zote wanakula nk nk
 
Wale ninaowafahamu hakuna mnene, nina shemeji kutoka Jamaica ni vegetarian, yupo 72 ila ana mwili mzuri hutaamini, nyama tunazipenda lakini wala sio nzuri kwa afya.
si kweli kabisa kuwa nyama si nzuri kwa afya,..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom