Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوق
Sema ukweli umedhihiri na uwongo umejitenga,
Hakika uwongo ni wenye kujitenga(wenye kupotea)

Sema nini, wasiwe waislamu jina tu
 
Amani itatawala, biashara zitaendeshwa kihalali, maendeleo yataonekana, dhulma, unyanyasaji, mauwaji, ufisadi, wizi, ujambazi n.k yote hayatakuwepo.
amani ipi waislamu wana amani wapi? magaidi na wauaji na wanajua kuhukumu kama wao ni wasafi dunia itachafuka na kunuka damu.
 
Ndio maana walianzisha vita ya biafra pale Nigeria ilu kuzuia uislamu usienee,
Na bado ukaenea,
Nakumbuka majeshi yalitoka inchi nyingi za afrika, hata sie tulipeleka,
Kweli haya ni mapambano,
Kuna upande unapigania haki na upande unapigania batili, tuombe mungu tuwe upande wa haki
 
Waislam kama wataendelea kuwakubali wazungu kusilim,basi wajue wazungu hawana nia nzuri ya uislam na hapo ndipo mambo ya wazungu kuingizwa kwenye uslam kwawingi.

Mzungu hana nia njema na dini yoyote iwe ukristo au uislam.
Wazungu wameutengenena ukristo na sasa wanaichezea dunia vile wanavyotaka.
Sasa wameona waislam ni wagumu kidogo kwenye baadhi ya mambo na mbaya zaidi.kitabu chao kilikua kinawasumbua kidogo kutokana na lugha inayotumika kwenye msahafu.

Sasa wameona ili kuuchezea uislam lazima tujifunze mafundisho yao ili tutumie baadhi ya madhaifu ili kuwabadilisha.

Kama unachosema mkuu mleta mada nikweli basi wazungu wamefanikiwa,hivyo miaka siomingi itakua vigumu kutofautisha mwislam na mkristo kitabia.
Wasipoangalia madufu na kwaya zitaendelea kupigwahadi kwenye mabar nk.
 
Mkuu
Uko sahihi
Kuna unabii unasema kuwa 2033-2043 ulaya itakuwa dola ya kiislamu Baada ya Hapo wataanza kupigana kurudisha dola ya kikristo wakiongozwa na marekani !!!
Tusubiri!
 
Qur'an ilishaeleza wazi siku za mwisho watu wataingia katika dini ya haki makindi kwa makundi...... By the way ni kweli kabisa ulaya makanisa mengi yanakua misikiti siku hizi

Unateseka mzee baba?

Hata mwandishi wa makala hii, shule hakuna "dini ya upili!". Duh!
 
Nchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya waislamu tu (wakristo hawaruhusiwi)

waislamu hujazana kwa hizi mbinu

- Kuomba kuishi ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwasababu nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika ulaya wanaita familia zao.

-Sheria dhaifu kwa wazamiaji - nchi kama za uingereza, ufaransa, n.k hata ukizamia kiharamu sio kesi sana, kuna vyama vya siasa kibao vinalinda wahamiaji haramu na mashirika mengi yanatotoa misaada kwa maharamia.

- Kuzaliana sana ili kuongeza idadi, waislam huwa na watoto 4 hadi 6 ila wakristo wengi hasa wazungu huzaa mtoto moja tu, wengine hawana habari kabisa na ndoa wengine mashoga, n.k

- Kuoa mabinti wa kikristo na kuwabadili dini

- kushawishi wakristo kubadili dini wawe waislamu, hili linafanikiwa mno, imefikia kipindi makanisa yanabomolewa na kugeuzwa misikiti

Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "compunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu,

Namba zinaongea, kwa sasa miji majiji kama London yana waislam kibao na Mayor wa London ni muislamu anaepewa sapoti kubwa na waislamu, kadri ulaya itavyozidi kuwa na waislamu wengi basi viongozi wengi watakuwa waislamu na ulaya itakuwa ya kiislamu.
Halafu itakuwa kama Syria au Nigeria sasa sijui watakimbilia wapi tena.
 
kuamini kristo sio unachagua cha kuamini,mission ya Yesu duniani ndio inabeba umuhimj wake,ilikuwa kuja kufa na kufufuka,sasa ukikataa kilichomleta anakuwa kama manabii wengine tu wa mchongo waliokuja nyuma yake.

myahudi ni kama mtu mwingine tu anao uhuru wa kuaminj au kutoamini,tofauti ya myahudi na mwislam ni moja.
myahudi hamkubali Yesu huyu,anaamini yuko mwingine anakuja kwa kazi ile.
mwislam anamkubali Huyu ndiye ila hakufa wala kufufuka.

kuna mpinga kristo hapo na kuna asiyeamini kristo.
Nakuona unavyojitahidi kimuweka mbali muislam na kumkumbatia myahudi..huyo nabii wa mchongo unaedai kaja nyuma yake ndiyo 'nabii yule' aliyetajwa kwenye biblia ambaye yesu mwenyewe anamjua,myahudi hamsubiri yesu,acha uwongo..myahudi hakubali kabisa habari za yesu na ndiyo walioshupaa ashughulikiwe,mpinga kristo ni myahudi
 
Wazungu sasa hivi wakizaa sana watoto 2, kwahiyo kila uzao una watoto 2... Wakati Mwaarabu anaoa wake 4 ambao kila mmoja ana watoto si chini yua 5.. Kila uzao una watoto KARIBIA 20.. Baada ya Generation 4 dola KAMILI..
 
Nchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya waislamu tu (wakristo hawaruhusiwi)

waislamu hujazana kwa hizi mbinu

- Kuomba kuishi ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwasababu nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika ulaya wanaita familia zao.

-Sheria dhaifu kwa wazamiaji - nchi kama za uingereza, ufaransa, n.k hata ukizamia kiharamu sio kesi sana, kuna vyama vya siasa kibao vinalinda wahamiaji haramu na mashirika mengi yanatotoa misaada kwa maharamia.

- Kuzaliana sana ili kuongeza idadi, waislam huwa na watoto 4 hadi 6 ila wakristo wengi hasa wazungu huzaa mtoto moja tu, wengine hawana habari kabisa na ndoa wengine mashoga, n.k

- Kuoa mabinti wa kikristo na kuwabadili dini

- kushawishi wakristo kubadili dini wawe waislamu, hili linafanikiwa mno, imefikia kipindi makanisa yanabomolewa na kugeuzwa misikiti

Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "compunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu,

Namba zinaongea, kwa sasa miji majiji kama London yana waislam kibao na Mayor wa London ni muislamu anaepewa sapoti kubwa na waislamu, kadri ulaya itavyozidi kuwa na waislamu wengi basi viongozi wengi watakuwa waislamu na ulaya itakuwa ya kiislamu.
Soldier heshima kwako, Soldier wazungu hawatabiriki mara nyengine usije kuta kuna plan hapo behind the scene!, si bure sheikh iko namna.
 
Hilo sahau kabisa ndugu, kama mnajidanganya hivyo mnaacha kwenda na wakati Ngoja nikujuze kidogo

Kwa takwimu za 2022 idadi ya Wakristo wote ulimwenguni inakadriwa kuwa bilioni 2.4 huku Waislam ikiwa bilioni 1.9

Kwa Africa ukitoa nchi kama nigeria ambayo mnawateka na kuwalazimisha kuwa muslim bado wakristo ni asilimia 50.

Wakristo wengi wako Africa kuliko bara lingine lolote, inakadriwa kuwa na wafuasi milioni 685 wakristo na inakadriwa kufikia 2025 watafikia milioni 760 huku muslims wakiwa milioni 450.

Sasa twende kwenye takwimu za ukuaji wa hizi dini mbili, wakati wakristo wakakadiriwa kufikia bilioni 3 out of 9.3 bilioni ya watu wote duniani by 2050, muslims inakadriwa kufikia bilioni 2.8 by 2050 kutoka 1.9 ya mwaka huu. Hivyo hata ndani ya miaka 50 ijayo christian religion itaendelea kuwa ndo dini kubwa na yenye wafuasi wengi duniani.

Uislamu haujaenea africa na Ulaya kwa sababu ni dini ya kulazimishwa, ukitoa nchi kama Morroco, Algeria, Egypt, Tunisia, UAE na Mashariki ya Kati sehemu zilizobaki duniani Uislam haujaenea kama ukristo ambao upo Africa 80%, Ulaya 75%, America kasikazini 78%, America kusini 99%, Asia 52% kwa takwimu za mwaka huu.

Angalia tena ujionee mwenyewe kwenye ramani, je huyo usilaumu unaosema utakuwa ndo dini ya ulimwengu nazani Unatakiwa kutathmini kauli yako upya?

Hakuna mtu anayeweza kulazimishwa afuate misingi ya dini ktk zama hizi, msipobadilika mtaendelea kuchonga na nyuzi zenu kama hizi ili mpate attention tu.View attachment 2228535
Ukizingatia mpishano wa miaka 600 kati ya Ukristo na Uislamu wa sasa kwa maana ya Ukristo kuanza na baada ya miaka 600 ndipo Uislamu wa sasa ukaanza,utagundua kuwa kwa miaka ya mbele ni lazima Uislamu utaupita Ukristo.
 
Tatizo kwamba kule uislam ulikoshika Dola kuna hali gani?
Gulf counties
1 Saudia
2 Oman
3 Emirates
4 Qatar
5 Kuwait
6 Bahrain

Miongoni mwa nchi za kiisilamu zisizo na vita👆🏽 especially oman nchi ambayo amani imetawala zaidi ya nchi yoyote ya kiislamu.

Nchi ambazo kuna vita, je! Unataka kusema waislamu ndio wameanzisha!!! Je una uhakika ni wao!!! Mfano iraq, libya, palestina, syria, yemen, Afghanistan!!
 
Ujerumani wanageuza makanisa kuwa misikiti, na ndio taifa la ulaya linaloongoza kwa kusilimu, ufaransa n.k
Jipe moyo na picha za kudanganyika🤣🤣😂😂😂yaani mzungu kabisaa aanze kufuata tamaduni za muarabu aache zake🙄🙄🙄 wadanganye viazi wenzio safiri mpaka ujeruman kajionee sio udanganywa tuu nawewe unakubari??!!kwanza misikiti hairuhusiwi pili wahamiaji wengi kutoka nchi za kiislam au waislam wanawekwa kwenye kambi kisha wanarudishwa kwao au nchi jirani na kwao tafuta habari dira ya dunia bbc swahili wiki mbili zimepita nimesahau tarehe uone na ujiridhishe kama hujaenda ulaya🤣🤣😂😂
 
Tulieni babaa,, uisilamu unaendelea kunawiri kila kukicha,,hapa kwetu tu waislamu ni wengi kuliko wakristo mkuu.
Wadanganye viazi wenzako hebu ingia wikipedia kisha andika neno tanzania kisha ifungue uone jibu lako🤣🤣😂😂 na kingine hata mitaani tu fanya research yako muambizane waislam wote mvae kanzu na wanawake wavae hijabu uone majibu yako
 
Kwa hiyo kristo maana yake ni kufa na kufufuka!!?..mi nadhani mpinga kristo ni myahudi,kwanza anaamini yesu ni mtoto wa zinaa,pili haamini chochote Cha yesu,tatu ndiye mmiliki wa sehemu kubwa ya teknolojia duniani
Mkristo na myahudi ni kitu kimoja tofauti yetu ni kusali tu but mfano wao wanatumia bible agano la kale sisi la kale na jipya na pasaka tunasherekea wote kama hujui hilo
 
Back
Top Bottom