Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

Honestly sioni tatizo la mtoa mada kuleta hii taarifa humu ila ninachoshangaa ni hawa jamaa wanaolalamika kuhusu hii taarifa ambayo bila shaka ni waafrika weusi na haiwahusu hata kwa asilimia .0001, because it doesn't make any sense to hate unless you're stupid headed.

Wazungu, waarabu, waasia basically watu weupe wote hawana uhusiano wowote na waafrika weusi.
So haijalishi chochote kitakachotokea kwa hao wote kwa mwafrika hakina uhususiano wowote, it doesn't matter.
Dini zinawatia wazimu waafrika wakati wenye nchi na dini zao hata hawajali lakini waafrika huku wanalia na kupigana juu ya dini za mabwana zao. this is so pathetic. Islamic au Christianity ikitawala Europe na Amerika wewe mmatumbi huku kwenye bara la giza lililokushinda kwa umasikini inakugusa kivipi au nakuhusu nini na unalalamika na kuchukia kama nani?

Watu wanaojitambua tayari walishaacha kulialia juu ya mitazamo ya kidini bali wanawekeza kwenye future, lakini ona hawa watu humu?
Mimi sichukii wala kudharau dini ya mtu yoyote lakini siwezi kuamini hii JF home of great thinkers imejaa fanatics wa dini kiasi cha kuamini kwamba dini yangu ndio sahihi na nyingine ni fake kiasi cha kuweka chuki, this is some Adolf Hitler shit here. hawa watu hawana tofauti yoyote ni Nazis.

Fake ID na anonymous zinaonyesha na kufichua uhalisia wa mtu ndani kabisa ya nafsi yake, kumbe watanzania ni wanafiki kiasi hichi na wanachukiana namna hii?
Au ni wajinga wachache tu mostly waliokulia kwenye maisha ya chuki za kidini vijijini na hawajui uhalisia wa ulimwengu ulioanza kustaarabika, but I think the former is more correct.

Yaani inaniwia vigumu kuamini kwamba mpaka leo kuna watu wa aina hii Tanzania na JF kuna wajinga na fanatics kiasi hichi, na ndio maana siku zote nasema dini ikizidi inageuka ujinga sugu.
Look at these people?
 
Na Ndugai alimuona mke wa Yesu Galilaya.
 
Hilo sahau kabisa ndugu, kama mnajidanganya hivyo mnaacha kwenda na wakati Ngoja nikujuze kidogo

Kwa takwimu za 2022 idadi ya Wakristo wote ulimwenguni inakadriwa kuwa bilioni 2.4 huku Waislam ikiwa bilioni 1.9

Kwa Africa ukitoa nchi kama nigeria ambayo mnawateka na kuwalazimisha kuwa muslim bado wakristo ni asilimia 50.

Wakristo wengi wako Africa kuliko bara lingine lolote, inakadriwa kuwa na wafuasi milioni 685 wakristo na inakadriwa kufikia 2025 watafikia milioni 760 huku muslims wakiwa milioni 450.

Sasa twende kwenye takwimu za ukuaji wa hizi dini mbili, wakati wakristo wakakadiriwa kufikia bilioni 3 out of 9.3 bilioni ya watu wote duniani by 2050, muslims inakadriwa kufikia bilioni 2.8 by 2050 kutoka 1.9 ya mwaka huu. Hivyo hata ndani ya miaka 50 ijayo christian religion itaendelea kuwa ndo dini kubwa na yenye wafuasi wengi duniani.

Uislamu haujaenea africa na Ulaya kwa sababu ni dini ya kulazimishwa, ukitoa nchi kama Morroco, Algeria, Egypt, Tunisia, UAE na Mashariki ya Kati sehemu zilizobaki duniani Uislam haujaenea kama ukristo ambao upo Africa 80%, Ulaya 75%, America kasikazini 78%, America kusini 99%, Asia 52% kwa takwimu za mwaka huu.

Angalia tena
ujionee mwenyewe kwenye ramani, je huyo usilaumu unaosema utakuwa ndo dini ya ulimwengu nazani Unatakiwa kutathmini kauli yako upya?

Hakuna mtu anayeweza kulazimishwa afuate misingi ya dini ktk zama hizi, msipobadilika mtaendelea kuchonga na nyuzi zenu kama hizi ili mpate attention tu.
 

unaongea mambo usiyo na elimu nayo, Jiografia ya Kidato cha sita ingekutosha kuelewa kuwa unachoongea ni uongo.

Kawadanganye watoto wenzako, unafikiri Sera za uzazi na malezi Kwa watoto Ulaya ni Kama Asia na Afrika,
Unafikiri unazaazaa hovyo😀😀

Ndio maana nikakuambia Shule ni muhimu Sana hasa masomo ya Jiografia ili uelewe Dunia inaendaje.
Ulaya kuzaa ni gharama usidhanu Wazungu hawapendi kuzaa😀😀

Sasa Kama vijiweni ndio mnadanganyana ati Muarabu akifika Ulaya anazaa watoto sijui wanne sijui watano na Mzungu anazaa mmoja endeleeni kudanganyaba hivyo hivyo.
 

Huyo elimu yake ni ndogo alafu Hana uwezo wa kuchambua Mambo.

Anafikiri ukienda Ulaya unazaazaa hovyo akidhani hakuna sheria za matunzo na haki za watoto😀😀

Hao waarabu mpaka wanaenda Ulaya kutafuta maisha tafsiri yake hawana uwezo wa kuzaa watoto wanne na kuwalea katika nchi hizo
 
Swali: wewe unaishi ulaya au unapinga tu ?

Sababu alichoandika ndio ukweli wenyewe unaowatia hofu nchi za ulaya, lakini sio zaidi kwa misingi ya kidini sana lakini pia sababu ya inahusishwa.....
Kwa ujumla hata wawe wakiristo au au waislamu, wote wasio na asili ya kizungu ni kuzaana kwa kwenda mbele wawe waarabu au wanaijeria, na ndio wazungu wanachohofia kumezwa na tamaduni za nje...

Kwa idadi ya sasa zaidi ya nusu ya wakaazi jiji la London ni wakuja....

 
Hawa watu wananichekesha kweli, mtu anawaza tu kichwani then anaanza kuandika mambo kama hayo bila hata kufanya tafiti.
 
Fikiri sana na uchunguze vya kutosha kabla ya kuandika huu upuuzi

 
Kweli ni hatari sana mambo yanavyokwenda uislam utaiteka Ulaya na itakuwa shida kuu kama alivyotabiri Nostradamus miaka zaidi ya 400 iliyopita.
Hiyo ni campaign ya Waarabu ila hawatafanikiwa wazungu sio mafala kihivyo
 
Tumewaza sawa, sio busara kurudia tena...
 
Sio kwamba vyama vinawalinda wahamiaji haramu,wanaziba masikio Ili kupata mtaji wa nguvu Kazi wahamiaji haramu wote Hakuna anaefugwa ni lzm watafanya Kazi zile cheap tena ndogo ndogo mfano ufagizi, dishwasher, mashambani, nk hizi Kazi ni ngumu Sana kufanywa na wazawa. Hawa wahamiaji ni ngumu Sana kufanya Kazi professional. Wamefungulia goli Ili kupata cheap labour wameangalia faida za kiuchumi zaidi. Brain ndio itatawala dunia na sio dini, pili wahamiaji awajaanza leo kuhamia ulaya na USA. Na hata hao waislamu wakiingia Ulaya ukutana na sheria na mambo ya kizungu ambayo yanauwa tamaduni za kiislamu wanabakia kuwa waislamu jina wa kwenda msikitini na kurudi, tatu Mzungu anashida na dini wao walishatoka huko.
 
Sijaelewa kitu hapo
Flp 2:10-11 SUV

ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
 
Umechambua vizuri sana mkuu. Hawa wavaa makobasi baada ya kuona dini yao haina hoja za kueneza kwa amani sasa wamekuja na propaganda kama hizi za kutunga alizoleta mleta uzi. Wanasahau hata huko mashariki ya kati kuna wakristu wengi tu kama UAE, OMAN, QATAR na KUWAIT je na wakristo watakuja kuzitawala hizi nchi kwa wingi wao.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe shida yako ni nini sasa? Nimesoma hadi mwanzo hadi mwisho sijaelewa unakerwa au unafurahishwa au unataka watu wafanyeje hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…