inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,306
- 18,771
Uislam Kenya upo pwani ni hivi karibuni ndiyo unaingiaingia kati huko NairobiNa kuzaana kote Kenya waislamu hawafiki 15%
Uislam Kenya upo pwani ni hivi karibuni ndiyo unaingiaingia kati huko NairobiNa kuzaana kote Kenya waislamu hawafiki 15%
Lebanon Ina wakiristo 40%,masalia ya Vita vya msalaba, mgawanyo wa madaraka Lebanon ni kwa misingi ya dini na madhehebu, Rais mkiristo, Waziri mkuu muislam Sunni, Spika muislam shiaUkiwaza kuhusu ulaya, Lebanon waarabu wakristo wanatawala.
Kumbuka uislamu ulifika kenya mbele kwa karne nyingi lakini wakristo wanaongoza.Uislam Kenya upo pwani,ni hivi karibuni ndiyo unaingiaingia Kati huko nairobi
Kwa hiyo!!?..itakufanya uende mbinguni na kontena lako la dhambi!?Kumbuka uislamu ulifika kenya mbele kwa karne nyingi lakini wakristo wanaongoza.
Mambo ya dhambi na mbinguni yametokea wapi!?Kwa hiyo!!?..itakufanya uende mbinguni na kontena lako la dhambi!?
KwambaBiblia haijawai danganya.
Sasa hapa ni Nini kitatokea fanya kuwa ulimwengu wote uwe waislamu so what then or what special labda. What then to my life ama your lifeKwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "copmpunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu
Wakiwa wengi ni uhakika kwa kiasi kikubwa nchi nyingi za ulaya zitakuwa na viongozi wengi wenye dini ya kiislam na kuuingiza uislamu kwenye sheria
Kutakuwa na mpinga KRISTO/YESUKwamba
Kwa hiyo waislam wanaohamia ulaya wakiitawala ulaya watakua mpinga Kristo!?Kutakuwa na mpinga KRISTO/YESU
wameshituka ndio maana wanataka kuwapeleka rwandWazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
Na mzungu akiwa muislam itakua Bora kuliko mwarabu...mwarabu mjingamjinga Sana,hata mtume aliwakuta wakiua watoto wa kike ati aibu,sijui wangettomba wapi miaka kadhaa baadaeSasa hapa ni Nini kitatokea fanya kuwa ulimwengu wote uwe waislamu so what then or what special labda. What then to my life ama your life
Rwanda unakua processed then u arudi ulaya..hata waukraine linawakuta hiliwameshituka ndio maana wanataka kuwapeleka rwand
Usinisahau mtapo ongoza dunia, na kushika dora.Nchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, ndio wenyeji wazungu hawataki ila kuna vyama vya siasa huwalinda na kuwahamashisha waje kwa wingi kuzijaza nchi zao
Na uzuri ni kwamba nchi nyingi za ulaya kama ufaransa na uingereza ni rahisi kupata uraia hata kama umeingia kinyume na sheria.
Kwa sasa uingereza na ufaransa, ujerumani, n.k kuna makanisa yamebadilishwa kuwa misikiti na pia kuna mitaa kwajili ya waislam tu (wakristo hawatakiwi kuishi).
Katika suala la uzazi hapa ndipo penyewe, Wazungu wengi wanazaa mtoto 1 tu, wengine hwapendi watoto na wengine huoana jinsia sawa.
Kwa upande wa waislamu wanazaliana sana na kuingiliana hata na wazungu.
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "copmpunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu
Wakiwa wengi ni uhakika kwa kiasi kikubwa nchi nyingi za ulaya zitakuwa na viongozi wengi wenye dini ya kiislam na kuuingiza uislamu kwenye sheria
Kuwa imani ya mpinga itatawala Dunia.Kwamba
Dola ipi na mshapigwa chanjo ya corona.
Mpinga Kristi anapinga nini!?..Kama waislam ndiyo mpinga kristo mbona Imani yao haipingi kristo!!...wanaamini kazaliwa kwa uwezo wa mungu na mwanamke bikira,alikua alifanya maajabu,alikua akitawadha kabla ya kuswali Kama waislam,akisujudu Kama waislamKuwa imani ya mpinga itatawala Dunia.
Na mzungu akiwa muislam itakua Bora kuliko mwarabu...mwarabu mjingamjinga Sana,hata mtume aliwakuta wakiua watoto wa kike ati aibu,sijui wangettomba wapi miaka kadhaa baadae
Endelea kujifariji hivyo hivyo kama inakupa nafuu,hiki kicomment chako cha chuki hakina madhara yeyote wala hakiwezi kubadili kitu,WAISLAMU BANA WANATIA AIBU NDO MANA HUWA NAWAMBIA NI MARA CHACHE SANA KWA MTU ANAUJUA VEMA UISLAMU NA AKAENDEA KUWA MUISALMU, WENGI WANAKIMBIA USHETANI ULE
Sasa hapa ni Nini kitatokea fanya kuwa ulimwengu wote uwe waislamu so what then or what special labda. What then to my life ama your life