Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

KIBESENI

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
357
347
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
 
Miongoni mwa mambo ua maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu.kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia. Tinaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao. Kwangu hayaendi nitakavyo mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, NIFANYEJE.
Tungejua kwanza elimu yako na ya mama yao tungekuwa katika nafasi nzuri ya kukushauri.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu.kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia. Tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao. Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana. NIFANYEJE.Kwanza wanajitambua yaani wana uelewa mzuri ukitoa mambo ya shule?

Ikiwa jibu ni ndio waelekeze katika vipawa vyao zaidi .

Mfano ikiwa hawapati A Ila pia hawapiati D basi hao wako vizuri.

Mimi Kama Mwalimu natoa ushauri kuwa tumia mbinu za kuwajengea mentality ya ushindi kuanzia ndani yao. Hii waweza tumia subconscious mind.

Usitumie nguvu kubwa mfano viboko nk hizo mbinu hazisaidii chochote.


Mtoto mjenge taratibu kwa kumtia moyo na hata akipata marks ndogo wewe mtie moyo
 
Wana umri gani?
Watoto wanahitaji sababu ya kwanini wasome, na mara nyingi hiyo sababu inatakiwa itoke "within" sio kuambiwa na mzazi.

Mfano kuna mtoto anaweza kuwa anapenda kuwa daktari wa wanyama, mwalimu, mtangazaji. N.k
Wewe mzazi ni kazi yako kumuwezesha kufika huko.
 
Waanze kufanya mazoezi yanayo jenga uwezo wa kumbu kumbu na utambuzi wa mambo kuliko kawaida.
MEDITATION.

Ni njia bora zaidi kuliko dawa zozote zil, kuna baadhi ya dawa za mimea naweza kukusaidia nazikawa ninafuu katika kukuza ufahamu lakini yote na yote hiyo hapo juu nilioisema ndio mama yao kwani haihitaji hata gharama labda useme umtafute mwalimu, vinginevyo hakuna gharama ni mazoezi binafsi yaku control pumzi na fikra zinazo ingia s. Nihitimishe kusema meditation sio jambo la kawaida ikiwa unataka watoto wawe Genius masomoni wafanye mazoezi hayo kwa ustadi unaotakiwa.
 
Waanze kufanya mazoezi yanayo jenga uwezo wa kumbu kumbu na utambuzi wa mambo kuliko kawaida.
MEDITATION.
ninjia bora zaidi kuliko dawa zozote zile.kuna baadhi ya dawa za mimea naweza kukusaidia nazikawa ninafuu katika kukuza ufahamu lakini yote nayote hiyo hapo juu nilio isema ndio mama yao kwani haihitaji hata gharama labda useme umtafute mwalimu..vinginevyo hakuna gharama nimazoezi binafsi yaku control pumzi na fikra zinazo ingia..so nihitimishe kusema meditation sio jambo lakawaida ikiwa unataka watoto wawe Genius masomoni wafanye mazoezi hayo kwaustadi unao takiwa.


Hii ndo dawa ya matatizo yote duniani Pesa , elimu na Afya
 
Back
Top Bottom