Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shopping nawe umfanyie shopping,, apike, tule mpige story ila hayupo
Nikiangalia ntaishia ughaibuni tu bila kufanya uwekezaji wa maana Nyumban maana sina wa kusimamia hiyo mambo.
Unajiuliza ule ubavu ulotolewa kwenye mbavu zangu aliuchukua nan? Maana ni haki yangu.Mke na watoto wa watu hawana raha yoyote japo ni waondoaji mawazo wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?

Maana miaka inaenda hivyo
 
Take it slow! Hule mchezo wa playing hard to catch una umuhimu wake.
 
Hivi ni kweli hata wewe unayetafutwa hupati au una sura ngumu.

Wanaume tunahangaika kwasababu ndio tuna kazi ya kutafuta.

Mimi nimeamua kuwa mpole najua mke nitapata mwaka wowote.
Si kila mwalimu ana akili kichwani, kajichunguze hakuna binadamu mwenye sura ngumu wote tumeumbwa na damu +ngozi na mifupa
 
Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.

Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.

Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
Mficha uchi hazai/mficha maradhi kifo humuumbua umekuwa unaulizwa unatafuta mume ooh! Hii ID nimeweka kumbe leo yamekufika shingoni..! Pole ulikosea ulipoanza kutafuta umaarufu humu JF, wanawake humu wanaolewa kimyakimya.
 
Mungu ndiye anajua siri za maisha yetu mama, kama yupo aliyepangwa kwa ajili yako wewe zidisha maombi atamleta tu kwa wakati wake na kama hayupo Shukuru tu Mungu
 
Mungu ndiye anajua siri za maisha yetu mama, kama yupo aliyepangwa kwa ajili yako wewe zidisha maombi atamleta tu kwa wakati wake na kama hayupo Shukuru tu Mungu
kweli namshukuru mungu kanibariki kwa mengi
 
Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.

Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.

Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
we
hata nikiwakubali wanaume wote wa humu jf wanaokuja pm napata nini ? mara yupo korea mara yupo libya mara tandahimba mi sitaki mahusiano ya hivo
upowapi
 
Back
Top Bottom