Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

yaani haihusiani kabisa kabisa na hiyo michezo ndugu yangu....
kuwa huru kifikra..ntakapoleta kila kitu A-Z utauliza chochote utakacho kwa uhuru..now utajipa shida tu ukitaka kukisia ni mfumo gani
hakuna pesa rahisi hivyo ndugu yangu...Ingekuwa hivyo hata wewe usingehangaika kutafuta watu ungefanya kimya kimya
 
hakuna pesa rahisi hivyo ndugu yangu...Ingekuwa hivyo hata wewe usingehangaika kutafuta watu ungefanya kimya kimya

okey okey okey...nipo hapa nazungumza na wajasiria mali ndugu yangu.

nahisi kuendelea kuongea na wewe ni kupoteza mda tu..kwanza unaongea ilhali hujui hata kipi ninachokizungumzia.
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni
Duh!
 
Pambana tu na hali yako ndugu yangu maana usawa huu kila mtu anatafakari afanye nini ili apate pesa. Hata wenye ajira bado nao wana tafuta namna gani watoboe hivyo nakushauri wewe jiongeze tu kulingana na mazingira yako!
hahahahaaaaaa
 
Real am telling you mkuu nilinunua mzigo wa 12500. Nikatengeneza jumla 64000 nikatoa hela ya kununulia mzigo 12500 nikabakiwa na faida 51500
Ni biashara gani hii mkuu? Bidhaa gani ulikua unauza?
 
Niuze smartphone wakat dunia ya leo kila biashara tunatumia smartphone???
50,000 utatengeneza 1,500,000 kwa wiki. Utanunua smaryphone nyingine wiki hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom