Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

Kwa laki 2, inaweza zaa laki 1 kila wiki.

How?
= Kwa Fx traders
= Maana 200k ni sawa na dola kama 80, kwa lot ya 0.01tu, inatosha kutoa faida ya dola 40 ambayo ni sawa na 100K TZS
Yeye kasema 50,000 inazalisha 1,500,000 kwa wiki. Hivyo 200,000 itazalisha 6,000,000. Nikamwambia katika hizo 6m anipe 1m abaki na 5m kila wiki.
KAMA KWELI KUNA BIASHARA RAHISI KIASI HICHO.
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni
Tuwasiliane PM mkuu
 
Real am telling you mkuu nilinunua mzigo wa 12500. Nikatengeneza jumla 64000 nikatoa hela ya kununulia mzigo 12500 nikabakiwa na faida 51500
Biashara gani mkuu,ukiweza njoo pm let's do something
 
Kwa laki 2, inaweza zaa laki 1 kila wiki.

How?
= Kwa Fx traders
= Maana 200k ni sawa na dola kama 80, kwa lot ya 0.01tu, inatosha kutoa faida ya dola 40 ambayo ni sawa na 100K TZS
Kwa forex kweli inawezekana mkuu,tena more than that
 
Real am telling you mkuu nilinunua mzigo wa 12500. Nikatengeneza jumla 64000 nikatoa hela ya kununulia mzigo 12500 nikabakiwa na faida 51500
Huo mzigo ni madawa ya kulevya au ni madini?
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni
Ungekuwa nav
mawazo ya kibiashara ningefikiria namna ya kukukopesha..!

Kaa fikiria unataka kufanya nini fanya upembuzi yakinifu juu ya kitu unachitaka kufanya kisha nitafute unishawishi nitakukopesha ila hakikisha usije na porojo bila kunithibitishia uhakika wa wazo lako.

Pia km kuna wengine wanaotamani msaada nitafuteni.

ANGALIZO: Ni vyema uwe na kazi/biashara inayojulikana ukichukua mkopo uingie kwenye mzunguko.
 
Ila bongo kwa kukatishana tamaa hatujambo..
Sometimes ni heri kufanya yako kimyakimya tu..
 
Kwa laki 2, inaweza zaa laki 1 kila wiki.

How?
= Kwa Fx traders
= Maana 200k ni sawa na dola kama 80, kwa lot ya 0.01tu, inatosha kutoa faida ya dola 40 ambayo ni sawa na 100K TZS
mi huwa nikisikia hapo nasisimkwa na damu yani ka rahisi ila ukifunga macho na kufungua huna hata dala
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni
unania ila kumbuka hakuna mtu anataka kumpa mtu kibarua then ajue anataka kumkimbia then afurahie kwahilo huwezi pata hata hiyo kazi
 
mi huwa nikisikia hapo nasisimkwa na damu yani ka rahisi ila ukifunga macho na kufungua huna hata dala
Uko sahihi,
- Iwapo unaingia sokoni kwa kubahatisha.
- Ila kama unafahamu kuisoma vyema chart, ukaingia wakati sahihi, na ukatoka wakati sahihi, yawezekana hata kuikuza $30 na kuwa $150 ndani ya wiki.
- Hili lipo na linafanyika.

Fanya hivi
1. Fungua demo acount kwa broker yeyote, Note kiasi unacho anza nacho, kila siku asubuhi, Na angalia faida au hasara kila siku jioni.
2. Tumia entry na exit zitakazokuwa zinatolewa hapa: Telegram Channel

Lengo ni nini?? KUJIFUNZA NA KUONA JE KINACHOSEMWA KIPO NA KINAFANYIKA KWA VIETNDO??

KARIBU
 
Back
Top Bottom