Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,770
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 18 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000

Tupo wengi but...tukiungana kama 10 hivi kuna zile asilimia 4.7% za kila halmashauli tunaweza kopeshwa sema upo wap ili tuunde kikundi...umoja ni nguvu...kijana...
Mimi nipo now Arusha bt naweza safir popote hata Kalufwesi ndanindani ilimlad napata Nazi ya halali au umoja mzuri..mimwenyewe nimesumbuka mpaka..nimeiona nikae hom nisubiri time ya kuapply Vyuo...maana hakuna anayekuamni kila mtu.anasema lake na kutanguliza risk mbele...ukienda mabenkini ndo kabisa....
But
Nahamasisha vijana mwenzangu,wenye idea kama yangu na yako....tukutane tuungane na tuzifuate mil 50 halmashauli zipo...na ni haki/halali juu yetu...sema hua hazingumzwi...sana...ni hayo
Au kama vipi tuungane tufanye Nazi za manual work...lyk ujenzii.
Kufagia Barbara za mji Fulani na kuendeleea..
But zote ni lazma tuwe wamoja ili kuweza kusikilizwa...ni hayo kama kuna mtu amefunguka kifkla zaidi yangu aongezee
 
Ukipata mtaji ukimbie kazi sio..
 
Kweli mkuu
 
Kuandika kwenyewe mashaka hata huyo anaetaka kukupa kazi lazima awe na mashaka juu yako.
 
Tupo wengi but...tukiungana kama 10 hivi kuna zile asilimia 4.7% za kila halmashauli tunaweza kopeshwa sema upo wap ili tuunde kikundi...umoja ni nguvu...kijana...
Mimi nipo now Arusha bt naweza safir popote hata Kalufwesi ndanindani ilimlad napata Nazi ya halali au umoja mzuri..mimwenyewe nimesumbuka mpaka..nimeiona nikae hom nisubiri time ya kuapply Vyuo...maana hakuna anayekuamni kila mtu.anasema lake na kutanguliza risk mbele...ukienda mabenkini ndo kabisa....
But
Nahamasisha vijana mwenzangu,wenye idea kama yangu na yako....tukutane tuungane na tuzifuate mil 50 halmashauli zipo...na ni haki/halali juu yetu...sema hua hazingumzwi...sana...ni hayo
Au kama vipi tuungane tufanye Nazi za manual work...lyk ujenzii.
Kufagia Barbara za mji Fulani na kuendeleea..
But zote ni lazma tuwe wamoja ili kuweza kusikilizwa...ni hayo kama kuna mtu amefunguka kifkla zaidi yangu aongezee
Ulivoandika mkuu,..ila anyway,halmashauri hizo 50m zinatolewaga kweli au umeandika tu?
 
Zinatolewa but mpaka mue kikundi..na nini mnataka kuzifanyia mfano...mnaziwekezea kwenye kilimo cha Vitunguu...n.k
 
Pambana tu na hali yako ndugu yangu maana usawa huu kila mtu anatafakari afanye nini ili apate pesa. Hata wenye ajira bado nao wana tafuta namna gani watoboe hivyo nakushauri wewe jiongeze tu kulingana na mazingira yako!
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni
uza smartphone yako
 
Biashara ipi ya kutengeneza 150,000 kwa week mkuu?
Real am telling you mkuu nilinunua mzigo wa 12500. Nikatengeneza jumla 64000 nikatoa hela ya kununulia mzigo 12500 nikabakiwa na faida 51500
 
Back
Top Bottom