Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

Tupo wengi but...tukiungana kama 10 hivi kuna zile asilimia 4.7% za kila halmashauli tunaweza kopeshwa sema upo wap ili tuunde kikundi...umoja ni nguvu...kijana...
Mimi nipo now Arusha bt naweza safir popote hata Kalufwesi ndanindani ilimlad napata Nazi ya halali au umoja mzuri..mimwenyewe nimesumbuka mpaka..nimeiona nikae hom nisubiri time ya kuapply Vyuo...maana hakuna anayekuamni kila mtu.anasema lake na kutanguliza risk mbele...ukienda mabenkini ndo kabisa....
But
Nahamasisha vijana mwenzangu,wenye idea kama yangu na yako....tukutane tuungane na tuzifuate mil 50 halmashauli zipo...na ni haki/halali juu yetu...sema hua hazingumzwi...sana...ni hayo
Au kama vipi tuungane tufanye Nazi za manual work...lyk ujenzii.
Kufagia Barbara za mji Fulani na kuendeleea..
But zote ni lazma tuwe wamoja ili kuweza kusikilizwa...ni hayo kama kuna mtu amefunguka kifkla zaidi yangu aongezee
Wazo zuri mkiunda kikundi mnichek tuwe wengi
Ili tupate pesa fasta
 
Uko sahihi,
- Iwapo unaingia sokoni kwa kubahatisha.
- Ila kama unafahamu kuisoma vyema chart, ukaingia wakati sahihi, na ukatoka wakati sahihi, yawezekana hata kuikuza $30 na kuwa $150 ndani ya wiki.
- Hili lipo na linafanyika.

Fanya hivi
1. Fungua demo acount kwa broker yeyote, Note kiasi unacho anza nacho, kila siku asubuhi, Na angalia faida au hasara kila siku jioni.
2. Tumia entry na exit zitakazokuwa zinatolewa hapa: Telegram Channel

Lengo ni nini?? KUJIFUNZA NA KUONA JE KINACHOSEMWA KIPO NA KINAFANYIKA KWA VIETNDO??

KARIBU
Watu wa humu JF WALISHADANGANYWA SO HAWAELEWI WHAT IS FOREX
UMETOA LINK LAKINI HAWATAJALI
 
T
Tupo wengi but...tukiungana kama 10 hivi kuna zile asilimia 4.7% za kila halmashauli tunaweza kopeshwa sema upo wap ili tuunde kikundi...umoja ni nguvu...kijana...
Mimi nipo now Arusha bt naweza safir popote hata Kalufwesi ndanindani ilimlad napata Nazi ya halali au umoja mzuri..mimwenyewe nimesumbuka mpaka..nimeiona nikae hom nisubiri time ya kuapply Vyuo...maana hakuna anayekuamni kila mtu.anasema lake na kutanguliza risk mbele...ukienda mabenkini ndo kabisa....
But
Nahamasisha vijana mwenzangu,wenye idea kama yangu na yako....tukutane tuungane na tuzifuate mil 50 halmashauli zipo...na ni haki/halali juu yetu...sema hua hazingumzwi...sana...ni hayo
Au kama vipi tuungane tufanye Nazi za manual work...lyk ujenzii.
Kufagia Barbara za mji Fulani na kuendeleea..
But zote ni lazma tuwe wamoja ili kuweza kusikilizwa...ni hayo kama kuna mtu amefunguka kifkla zaidi yangu aongezee
I like the posititvity
 
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 20 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa 50000-100000
Issue ni kupata huo mtaji maana nimetafuta hata kazi ya muda ili walau nikipata mshahara nijiajiri nimekosa na mimi kwa upande mwingine sina support yoyote ya kifedha na familia hususan ndugu zangu zaidi ya kunikatisha tamaa tu

Nifanyeje nipate mtaji?Mtu mwenye kibarua chake pls anishtue hata aniajiri tu tafadhali ili hata akinilipa tu mshahara nipate hata mtaji

Nina cheti na diploma ya maendeleo ya jamii nipo tayari kufanya kazi hata kama nitalipwa laki moja cha msingi ni ili nipate mtaji tu wapendwa

Asanteni

habari kijana mwenzangu..

nimeona wengi hapa wanakukatisha tamaa tuu..ila mm nakupa mbinu nzuuri ya kupata mtaji kwa ajili ya kuhuisha wazo lako la biashara..
mimi nikiwa chuo kikuu nilipitiwa na mawazo mengi saana ya biashara ila nilikwama kwa ishu ya mtaji tu. na hapo ikanibidi nipitie tafiti mbali mbali na nikagundua vijana wengi tuna mawazo ya kibiashara ila tunakwama kwenye suala la mitaji, na unaweza kukuta mtu anahitaji mtaji mdogo saana ili aweze kufikia lengo lake.

sasa nikajaaribu kukaa chini na kuweza kutatua tatizo hili la wajasiriamali wachanga na kuandaa mfumo ambao wajasiriamali wachanga wataonganisha nguvu zao na kuweza kupatiana mitaji wao wenyewe.

niliunda system ya kimtandao kwa mara ya kwanza na kuiachia mtandaoni..ndani ya mda mchache saana nikapopokea comment za watu wengi saana tafauti na nilivyotarajia, wengine wakihitaji kujua kikomo cha mda ambapo wataweza kupata pesa zao kama mitaji, uhakika wa kufikia lengo n.k

hapo ikanibidi nikae tena chini na kujiaribu kushirikisha wataalamu ikiwemo wakufunzi wangu chuoni na pia baadhi ya jamaa zangu na hapo tukaibuka na wazo kabambe ambapo system inamuhakikishia kila atakaejiunga atakuwa na uwezo wakuingiza kiasi cha shilingi 247,000/= ndani ya siku 40 tu (uhakika).

mpaka sasa tunavyozungumza system imeshakamilisha ila tupo katika mchakato wa wakuitafutia usajili rasmi kwa mujibu wa sheria, kupata ofisi na kadhalika na process zimeshaanza na baada ya siku zisizopungua 7 system itaachiwa na kuanza kufanya kazi..

NOTE: mpaka tuna watu ambao walikuwa wameshajiunga kwenye system ya mwanzo ambayo niliiachia mimi binafisi, kwa sasa siwezi kusema chochote au kuachia link kwa kuhofia watu wanweza kujiunga kabla hatujawaunganisha wajasiriamali wenzetu waliotangulia.

KWA SASA WEWE MJASIRIAMALI MWENZANGU, KIJANA MWENZANGU JUST STAY CONNECTED...MAMBO MAZURI YANAKUJA.

kwa sasa unaweza kuwasiliana na mimi kupitia mawasilano yangu binafsi.

0656 009034

0756 631860

kudath.ommy@gmail.com
 
Pyramid scheme,Ponzi, scheme, forever living.,Qnet, decci..n.k....utapeli mtupu
 
yaani haihusiani kabisa kabisa na hiyo michezo ndugu yangu....
kuwa huru kifikra..ntakapoleta kila kitu A-Z utauliza chochote utakacho kwa uhuru..now utajipa shida tu ukitaka kukisia ni mfumo gani
 
Back
Top Bottom