Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

Ungekuwa nav
mawazo ya kibiashara ningefikiria namna ya kukukopesha..!

Kaa fikiria unataka kufanya nini fanya upembuzi yakinifu juu ya kitu unachitaka kufanya kisha nitafute unishawishi nitakukopesha ila hakikisha usije na porojo bila kunithibitishia uhakika wa wazo lako.

Pia km kuna wengine wanaotamani msaada nitafuteni.

ANGALIZO: Ni vyema uwe na kazi/biashara inayojulikana ukichukua mkopo uingie kwenye mzunguko.
Mmmhhhh.......
 
Wengi hapa wanatamani kijana afunguke ni biashara gani hiyo ya mtaji wa elfu 50 ikazalisha laki na nusu kwa wiki... hahahaha
wisdom will kill me oneday.

LoL.
 
Real am telling you mkuu nilinunua mzigo wa 12500. Nikatengeneza jumla 64000 nikatoa hela ya kununulia mzigo 12500 nikabakiwa na faida 51500
Mtaji mbona unaitikia hapo, hiyo smart phone uliyo nayo ni mtaji tosha, uza simu Yako hakika utapata huo mtaji unaouhitaji, kisha fanya hiyo biashara ukipata faida utanunua simu nyingine km ni muhimu sana kwako.
 
Guuud idea
Uza simu yako kama kwa wiki ukipata hyo faida ya laki na nusu nunua smartphone nyngine wakat mtaji ukiendelea kuwa nao.
Au aiweke rehani, akishazalisha hiyo mifaida arudishe cha Watu achukue simu yake.
 
Mtaji mbona unaitikia hapo, hiyo smart phone uliyo nayo ni mtaji tosha, uza simu Yako hakika utapata huo mtaji unaouhitaji, kisha fanya hiyo biashara ukipata faida utanunua simu nyingine km ni muhimu sana kwako.
Big noo
 
Huyu anaweza akakimbia na mtaji wote,hapa watu ndipo wanapokosea et anasema kabisa anaomba kazi I'll spate mtaji wa kuanzisha kitu flani, kwa namna hii ni ishu kupata kazi

Tatizo huwa mnadhan watu wote ni sawa
 
Back
Top Bottom