round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,045
shida ipo hapowa kiume lazima azame room shida ni kwamba chumba hakuna mlango kina pazia ni ramani tu ya nyumba yenyewe mlango uko mmoja tu wa sebureni
shida ipo hapowa kiume lazima azame room shida ni kwamba chumba hakuna mlango kina pazia ni ramani tu ya nyumba yenyewe mlango uko mmoja tu wa sebureni
Laana!Mbona baba analala na mtoto wake
Sembuse wadogo zake
😁😁😁Dah Sio poa yaniWambietu kua na wewe ni binadamu unahitaji uhuru, kuna siku watakuta shemeji yao amelala mshedede uko ndindindi unakusubili
Kioo ndo niliona wanakifata zaidiUlishawahi kuzungumza nao? Jaribu kuwahoji nini haswa wanakitaka au wana hitaji ndani ya chumba chako na wakisha ainisha angalia namna ya kuwa wekea sitting room kama ni lazima. Otherwise, usiwaonee haya waambie hupendi wao kuingia mahali unapolala kama hawakai na wewe hapo full stop.
Wakumbushe hio sio nyumba ya familiakama wakitaka uhuru huo warudi kwenu Ifakara mdau.
Basi zungumza nao kuna zaidi ya kioo... ila haipendezwi tena kama kuna wadogo wa kiume wanacheza cheza ndani kwa dada zao hii haijakaa poa kabisa hata kwa afya zao za akili na uzazi.Kioo ndo niliona wanakifata zaidi
Upumbavu huo mizee mizima inune acha inune itafute kwao ifanye itakavyo chamsingi wachane ukweliHawakawii kukasirika wataanza kuninanga mi katili siwajali ,na wanaweza stop kabisa kuja ni wakubwa Wana miaka ishirini na Tano kwenda juu
Kwani Kuna tatizo wakiingia? Umewazoesha vile, kama we ni bachela ishi nao vile mlivyozoea.Hawakawii kukasirika wataanza kuninanga mi katili siwajali ,na wanaweza stop kabisa kuja ni wakubwa Wana miaka ishirini na Tano kwenda juu
😂🤣🤣🤣🤣Mambo ya akina Junior hayo!
"Usimzuie atalia",hapo anavuta T-shirt ya uncle wake imelegea kama ya kunyonyeshea.
Huyo wa kike atakuja kumkuta shemeji yake na boxer,apigwe miti.
Hii nayo nzuri mm huwa siingii tofaut na rumu yangu tuu, japo nyumbn huwa naingia kokote nisiwe muongo Ila kwa kusudi maalumu, ila napoishi sijawahi ingia rumu ya mtu aseehWengine tumezoea kutoingia vyumba vya wengine kabisa!
For really your too soft. Kaa nao waambie rules and boundaries simple . Mm ata wanangu kuingia room kwangu mpaka permission and no one dareAisee,nipo nyumba ya kupanga nimeweka dressing table Ina kioo, wadogo zangu wanapenda kunitembelea, wakifika tu kunitembelea lazima wazame chumbani niwepo nisiwepo,hata nisipokuepo lazima utakuta mabadiliko chumbani,nikasema isiwe kesi niweke kioo full sebureni hapa nilipoweka kochi na tv lakini bado lazima waende chumbani ni wadogo zangu wa damu mama mmoja baba mmoja,wa kiume lazima azame room shida ni kwamba chumba hakina mlango kina pazia tu ni ramani ya nyumba yenyewe mlango uko mmoja tu wa sebureni.huyu wa kike utakuta mimi nimekaa hapa sebureni utakuta anapitiliza moja Kwa moja chumbani vipi wakimkuta mwanaume wangu huko ndani amelala,ndio naishi peke angu lakini uwezi jua na mimi ni binadamu siku wakimkuta mtu huko room kwangu factly nakerekwa Sana na tabia Yao hii ya kuingia room bila utaratibu.leo Hadi nimeandika hivi nimekerekwa zaidi Kuna kipimo Cha mimba nilipima jana nilikiacha tu juu kwenye dressing table sikujua kama atafika dogo Leo home.